dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
all these is brewed out of sheer jealously and envy.. u see your brother thriving and prospering more than u are, then u start catching feelings and hating.. and u really try all means to pull him down, so that u are either at par or even more desirably ahead.. but still however find tht, your younger brother still smartly outperform u in whatever aspect. God will forever stand with kenya
Hyo ni isuzu mzee hamna lorry hapo body made in kenya acha ujingachai maharage aka canter lorry [emoji23][emoji23][emoji23]
Mombas akw appartments imekukimbiza [emoji1787][emoji1787]Maendeleo gn mliyonayo? Mpk leo nchi haina modern public transport, haina cable stayed bridges, haina electrified SGR wala haina reliable source of electricity, mmeendelea nn ss au block flyovers na vile vi apartments cheap vyenye bati nyekundu juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huaga mnaumia mnapoona matatu culture kenya imeshamiri[emoji1787][emoji1787]Nimecheka kwa sauti, eti matatu inafanya vizuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ilikua hujui kitu lkn ulipoona commemts basi na wewe eti unakuja kujitia ujuaji hku..sema Rais Kibaki wa [emoji1139] alikuwa wa moto [emoji91]
Tabora Isaka ninahisi atapewa yule Mchina anayetokea Mwanza Isaka, hiki cha Tabora Makutopora Kuna uwezekano mkubwa wa kupewa Mturuki, ila Kasi yake ya Ujenzi sio nzuriWakuu hii ngoma inaisha, hapo kitabaki kipande kidogo tu cha Tabora-Isaka ambacho piga ua atapewa mturuki.
@Tony254vitu kama hvi hamuvitaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
What makes a city Green? Where do most of the energy come from (GEOTHERMAL?) , energy uses in the city, Matatu yanatumia kitu gani green? Githeri? 🤣 How many green buildings in Nairobi? The terracotta tower? plant life and water features in the city? ukiachilia kile ki pavement walichoweka mwaka huu,i s it a walkable city? au huwa wanamanisha ukijani mimea mjini?What do you mean by green city? Air quality? ,Carbon emissions? Green spaces?,clean and environmental friendly soroundings? Open spaces?
Mchina co wa kumuamini sn, Samba mapangala anakuambia Mchina naye mwafrika vile vile.Apewe Mchina ..Mturuki kazi iko slow
Mengine yanapelekwa Kenya yanagongwa lebo yao wanakwambia wao ndiyo wanaongoza, ukiwaambia tuoneshe mashamba ya avocado hakuna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me nimeona hilo flyover hapo mbele na vumbi la Congo chini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mobius 3, Kenyan made, dashboard like a W222View attachment 2059846
Kakubali [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kitu nataka uelewe ni kuwa Mwanza shipyard ni matope na vumbi tupu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naombeni wakazi wa mombasa mujitokeze kwa wingi na mumpe pesa zenu alikiba alete nyumbani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120]
View attachment 2059890
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2059903
Takataka wanayotupigia nayo kelele ndio hii. Eti haina tope
Ngoja niwaachie wachambuzi The best 007
Hebu tuoneshe cable stayed bridge [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mombas akw appartments imekukimbiza [emoji1787][emoji1787]
Cable stayed bridge tulijenga kijijini miaka kadhaa iliyopita, umeme wa mgao unapatika only in tz hapa EA..SGR tunayo labda utwambie wewe km kuna toleo lingine la SGR..
Mnaumizwa sn na maendeleo ya Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huaga mnaumia mnapoona matatu culture kenya imeshamiri[emoji1787][emoji1787]
Eti led karne hii watu tayari wameanza kunengua wakati hku kwetu ni kawaida mpka hata hazishughulikiwi
Green ni Mokimoo kiongozi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]What makes a city Green? Where do most of the energy come from (GEOTHERMAL?) , energy uses in the city, Matatu yanatumia kitu gani green? Githeri? [emoji1787] How many green buildings in Nairobi? The terracotta tower? plant life and water features in the city? ukiachilia kile ki pavement walichoweka mwaka huu,i s it a walkable city? au huwa wanamanisha ukijani mimea mjini?
Usipate taabu mkuu hao jamaa hawana kitu miaka nenda rudi ni apartments tuu labda na sasa kidooogo expressway zaidi ya hapo ni majanga tuu mkuu.Hebu tuoneshe cable stayed bridge [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]