Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hujijui hata unachoongea.
Wewe ndio hujui unachoongea. Uongo haitasaidia bro๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

According to the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF), in 2018 Tanzania exported 7,551 tons of avocado with a total value of USD 8.5 million to Europe, Africa, and Asia.

Read more at: Tanzania Avocado Exports Gets Boost from South Africa and India, China is Next - TanzaniaInvest and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest

In 2020 Tanzania exported a total of $30M avocado.

 
Hizo number za exports nani kakuambia ni avocado's?
 
Acha kudandai magari kwa mbele utagongwa ufe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, $700 umeelezwa kabisa ni total exports za tz to SA, na hiyo avocado ni miongoni mwa hizo exports .. ukitaka ku comment husuanisha mikono na kichwa chako Dadaangu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sio kisa kazi ya mikono ni kuandika basi ndio unaandika bila kuhusisha kichwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.. soma tena hapa ๐Ÿ‘‡labda utaelewa
 
We kilaza ona vile mnatuabudu uko kwenu.. mbosso akitoa msaada kwa familia iliyofiwa na shabiki yake. ๐Ÿ‘‡.
 
Nimekuuliza export za Tz to SA in 2019 ni ngapi ukashindwa kujibu. Alafu exports ni tofauti na diaspora remittances, fahamu hilo.
 
Nimekuuliza export za Tz to SA in 2019 ni ngapi ukashindwa kujibu. Alafu exports ni tofauti na diaspora remittances, fahamu hilo.
Research reports hazitoki kila siku sababu hazifanyiki kila siku, latest report ni hiyo ya 2017-2018 ikionesha tunaexport SA 700M $, obviously saivi itakua juu zaidi sababu biashara imekua zaidi.

Wewe unataka iwe remittance kwani hizo 700M $ hazifiki Tanzania? Unafikiri Watanzania ni wavivu kama ninyi ambao wakenya wote zaidi ya million 55 wanashindwa production na wakenya chini ya million 1 waliopo abroad?

Yaani mkenya wa kajiado hawezi kufanya kazi kabisa amekaa anasubiri ndugu yake anaepigika ulaya amtue pesa za matumizi ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ