Kijana wa kitanzania mzalendo aliyekataa mshahara wa million 425 Marekani kutoka kwenye kampuni ya Bill Gates na kuludi nchini Tanzania. Ameleta wanafunzi wa chuo number moja duniani cha Harvard na Stanford kupanda mlima Kilimanjaro. Hapa kazi tu, Tanzania tunajenga nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.