kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
Ohooo itabidi akatishe honeymoon kabla ya tarehe 8
rafiki yangu mmoja mkenya kaikimbia nairobi kaja kupumzika dar es salaam kuiwepa starehe 8 august.
hawatabiriki hawa.nasikia taharuki ni kubwa sana hasa baada kifo cha utata cha mkuu wa wao wa idara ya ICT.