Usinifokee
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,502
- 3,525
Si mlishauza nchi... Saizi anajenga miji yake.. wakunya halali mtaishi kibera.. endelea kufanikisha kumshangilia bwana wenu kwa kuwajengeaNa bado, kuna other 12 towers of 34 floors each mchina anajenga kule Ngara. Hizo zikiisha si mtapiga nduru kwa choo?[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2057392
Mbona hiyo Wembley ya 1923 Bado ni Bora kushinda hii Benjamin Mkapa yenu ya 2015?View attachment 2057634View attachment 2057635
Acha visingizio kijana this ☝️ is Wembley 1923.. ambapo miaka 63 baadae dunia ilishapiga hatua kubwa sana na nyinyi mkapata kitu hiki hapa 👇sasa badala ya kupata kitu new model wenzetu mkarudi nyuma. Badala ya kwenda mbele mkarudi nyuma 😂😂😂😂😂 , na huu muonekano ni baada ya kufanya renovation nyingi mno 😂😂😂.. dunia inaenda mbele nyie mnarudi nyuma.. hovyo kabisa
View attachment 2057639
Mko na indoor Arena? Jibu swali🤣🤣Kwahyo indoor Arena, na Aquatic stadium ni sehemu ya football stadium.? 😂😂😂, Kuchanganyikiwa huku
JNIA has supporting infrastructure for A380 JKIA haina. Choice ya distance betwen JNIA and JKIA is insignificant in aviation terms cause all are geographically located within the same range from where the plane was coming from.Usiwe na hasira bradhee. Endelea kufurahia A380 kumake emergency landing JNIA. Hivo ndio watu wajinga hufikiria. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
So ndege ingetoka indian ocean, ivuke JNIA ije JKIA for emergency landing ama unataka kumaanisha nini? Do you understand the meaning of the word nearest? Are you aware an emergency landing can even happen on a highway?JNIA has supporting infrastructure for A380 JKIA haina. Choice ya distance betwen JNIA and JKIA is insignificant in aviation terms cause all are geographically located within the same range from where the plane was coming from.
Hata mimi naweza nikapandisha utajiri wangu kwenye karatasi for public consumption it is very easy kazi inakuwa kwenye kushindwa kulipa videni vidogo vidogo au kushindwa kufanya uwekezaji hata mdogo bila mkopo.Ebu tafuta post zao za 2017 uone venye walikuwa wanasema ati GDP ya Tanzania itapita ya Kenya in 2020. Right now GDP ya Kenya is twice their GDP[emoji1787][emoji1787]
Hizi sindano za asubuhi asubuhi kali kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnaachana na pollution aje and everything down there is diesel and petrol? Wacheni ujinga. Si juzi mmejigamba na more diesel locomotives?Tunajiongeza, tunaachana na pollution sisi.
Sasa mbona hizo ndege hazitui kwenu?Hamna vigezo vya kutua hizo ndege, acha ubabaishaji wewe.
Apparently so, if you can call a trumpet interchange with an overpass above it a ramp then you obviously don't know anything about interchanges.Unafikiri interchange nimezijuwa juzi...
A slip road, a link road and a ramp are three different things my friend. Wacha kujiabisha. Umezaliwa wapi wewe?Ramp (north America) ndiyo barabara za mchepuko (slip au link road). Kama hujui kitu uliza, usijifanye mjuaji, we mshago.
Unaruka ruka tu, hujui ushike mti upi, 😂😂😂 Tahira wewe😂😂😂Kujitia hamnazo😂😂, kulazimisha fikra za vijiweni😂😂😂
Yaani umefanya comparison analysis ya Wembley ya 1923 all amenities in the stadium ukaona imeshinda Kasarani ya 1986? Ukweli wewe ni "mtu smart"😂😂😂😂 pongezi👏👏👏👏
Yaani Nairobi tumeijenga zamani na bado tunaendelea, hamfikii bado.,
Wembley yako ya 'kisasa' vs Kasarani ya Vasco Da Gama😂😂,
View attachment 2057644
KASARANI STADIUM
The MOI INTERNATIONAL SPORTS CENTRE (MISC), is located 15 km from the Nairobi city centre on Thika road.
This facility includes:
i) The Stadion Hotel
The Stadion hotel is a three-star hotel and has the following services
Accommodation with 108 rooms equipped with TVs and telephones
200 seater restaurant and 60 seater adjacent grillroom
Sports bar
Laundry
400 seater multipurpose ballroom
Business Centre with cyber café
Seminar rooms with secretariat
Gift shop
Luxurious swimming pool (free of charge to residents)
Poolside bar
ii) Kasarani Stadium (Main Stadium)
The Stadium has a sitting capacity of 60,000, with VIP lounges and hospitality suites. The facilities are equipped with modern Changing Rooms, Restaurants, Mini-shops, press/media areas and offices. There are internet connections and a hot spot installed in strategic positions. It also has 6 conference rooms at Kasarani Grand Stadium each with a capacity of 60 pax.
iii) Kasarani Indoor Arena
A state-of-the-art Indoor Arena at Kasarani with a capacity of 5000 pax, a very ideal venue for AGMS, corporate sporting and team building activities. The Indoor Arena also has presidential suites, snack bar, and a restaurant, a typical setting for exclusive corporate use for business presentations, product launches and other business meetings.
iv) Kasarani Aquatic Stadium
The facility has:
One Baby Pool; 1.25m deep Warm-up or training pool; 1.5m deep Competition (Olympic size) Pool and 6m deep Diving Pool with 3 springboards and up to 10m high diving platform.
One recreational seminar room with 30 pax capacity and a VIP Lounge.
Tz nchi ya city moja yenye CBD moja, na stadium ya maana moja..,😂😂😂😂😂 , tuko lanes tofauti sana😂😂
Nyayo National Stadium
The front view of the Nyayo National Stadium.
View attachment 2057682
View attachment 2057674
View attachment 2057676
View attachment 2057677View attachment 2057680
View attachment 2057681
View attachment 2057679
View attachment 2057678
A view inside the Nyayo National Stadium main VIP room as at May 25, 2020.
Tafuteni wenzenu jameni😂😂
😂😂😂 Huyo jamaa ni mwehu huyo .. me nilishamjua kitambo ana rusha rusha maneno na kamwe hawez kubali kushindwaUsithubutu kuruka swali kwa kujifanya eti unajua English mana Wakenya wengi mmekuwa ni Mazezeta wa hii lugha ya Wazungu, tutajie seating capacity ya Kasarani na uweke picha ku support ur claim cz kuona ni kuamini.
Beautiful ❤️, sawa something similar in Kigali but street level.
Tunachekanao tu humu ila hawatuwezi, ni usiku ila barabara zinameremeta, kuna chizi moja la kikunya lilipost miti ya Christmas ndani ya mall basi likaona limetusumbua, kumbe bongo mambo ni mpaka kwenye vyombo vya usafiri 🔥🔥🔥, Asante sana bro kwa kutuletea picha za adabu
Mnahitaji zaidi chakula kwa ss.
Hujui kiswahili wala kiingereza wewe, hapo nimetumia neno "kujiongeza", unaelewa maana yake lakini?Mnaachana na pollution aje and everything down there is diesel and petrol? Wacheni ujinga. Si juzi mmejigamba na more diesel locomotives?
Hiyo Emirate si ilitua? Kama unaulizia kuja regularly, kwa sasa hakuna demand kubwa, na hizo ndege Airbus wameshasitisha production kwasababu ya kukosa soko.Sasa mbona hizo ndege hazitui kwenu?
Just few hours ago you didn't know what a ramp is when it comes to highways, until I broke it down for you. Now you're all over it like cheese on pizza, typical mshagoo.Apparently so, if you can call a trumpet interchange with an overpass above it a ramp then you obviously don't know anything about interchanges.
Just be humble my dude, you don't know shit. Waswahili tunasema, usimwige tembo kunya mavi makubwa, utapasuka msambaA slip road, a link road and a ramp are three different things my friend. Wacha kujiabisha. Umezaliwa wapi wewe?