Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1 in a million. though nime confirm hii ni picha ya 2010, otherwise ni very rare kuona magari kama haya katikati ya jiji la nairobi. hivi zina choma picha, ata kama ilikua 2010. lol!
Katika picha nyingi mnazoweka hapa za Nai, huwa hazikosi magari ya zamani. Hii inaonesha kuwa Kenya mnakiasi kikubwa cha magari hayo. Hii pia ni kawaida kwa miji mingi ya Afrika, mfano Addis, Lusaka, Harare n.k. Hapo nimeongelea ukanda wetu, huko magharibi ni balaa.
 
Weka ushahidi kwamba Kuna nchi ambazo barabara zake zinajengwa na kumilikiwa na kampuni binafsi, wacha kudanganya watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

PPP ni mfumo ulioanzishwa kwa makusudi ili kusaidia nchi masikini ambazo serikali zake hazina uwezo wa kujenga miuondombinu muhimu ambayo inapaswa kujengwa na serikali kwa ajili ya "public consumption", hakuna serikali yoyote ambayo ni "serious" na yenye uwezo amvayo inaweza kuacha "basic infrastructure" Kama barabara, reli, maji na umeme mikononi mwa private sectors"that is Economic suicide".

China ndiyo nchi inayofanya vizuri kiuchumi kuliko nchi yoyote kiuchumi duniani kwa sasa kuizidi hata USA, hata ninyi mnaojiita mabepari uchwara mnakimbilia kukopa China ambako wanafuata siasa za kijamaa za uchumi, hiyo ni dalili kwamba sera za uchumi wa Kibepari zimeshindwa kushikilia uchumi wa dunia

China ambayo ndiyo inayoongoza duniani kwasasa katika ujenzi wa miuondombinu muhimu Kama reli, bandari, barabara, Airports na makazi ya watu, hakuna hata kilometer Moja iliyojengwa kwa PPP, weka ushahidi wa nchi yoyote tajiri ambayo imetumia PPP katika kujenga miradi ya msingi kwa mpango wa PPP[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wacha uongo
Wewe ndio huna habari kuhusu jambo hili. Marekani, Italy na kwingineko kuna private roads zilizojengwa na kampuni za kibinafsi chini ya mfumo wa PPP na zinakusanya kodi. Ukitaka evidence naweza kukuletea
 
Wacha naleta ushahidi. Nipe muda kidogo nizame narudi na darasa. Nitakupa darasa leo maana naona hujui historia ya PPP. Hujui miradi za PPP zilianzia ughaibuni? Subiri nikupe darasa
 
Anza na hii hapa. Leo nataka upevuke uwache kufikiria kishamba shamba. Mawazo ya kijamaa sio nzuri.
Hizi private roads zipo nyingi Marekani na zinaitwa turnpikes. Cc ichoboy01
 
ujamaa na ubepari ni mifumo tofauti kbs !
tanzania tunaichanganya hii ilkuendana na kasi ya dunia !

miradi ya ppp tz tunajitahidi sana kufanya na makampuni ya ndani" kiukweli sisi wa tz n kama wageni wa ppp sjui hatuuelewi? ila tupo very cautious na miradi inaomgusa mwanainchi

kwa kifupi ppp tunaona n kama neo colonialism au ainaflani ya unyonyaji dhidi ya wasiokuanacho


Tanzania tunathamini na kuulinda Uhuru wetu kwa mapana yake
 
You think life starts and ends at Tandale slums? Step out of the boundaries of that glorified fishing village called Dar ujue kinachoendekea duniani. It limits your exposure and reasoning abilities. Did you say there are no PPP projects in developed countries like the US? Consume this free knowledge then thank me later




 
ZA Tanzania huwa mpya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…