Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani ulitaka watujengee bure? Bro, Kenya sio kama Tanzania where everything is either a donation or grant.
nijibu kwa ufasaha kwani mungewalipa pesa wasingejenga?? 🀣🀣 kwann wajenge wao alaf ushuru wa kutumia barabara mulipe nyie alaf mchina achukue pesa na ajira zenu apeleke china
 
Hili Flyover ya Bandarini Gerezani inaonekana itapita juu ya Daraja la Bandari na inatokea usawa wa level ya kitu hiki cha mwendokasi ukipinda Kushoto kidogo maana udogo wamejaza Hasa.










Hili ni daraja lingine Reli inapita chini.



 
mambo kama haya hamutaki kuskia🀣🀣
Ofcourse.
I'm not sure if you've read the link there but in summary:The drop reflects significant business disruptions in the wake of Covid-19 economic hardships
 
You got the BRT right.good investment
 
nijibu kwa ufasaha kwani mungewalipa pesa wasingejenga?? 🀣🀣 kwann wajenge wao alaf ushuru wa kutumia barabara mulipe nyie alaf mchina achukue pesa na ajira zenu apeleke china
Utaendelea kulia wakati wakenya wanaenjoy the beauty and efficiency of the expressway. Alafu uje tuongee after Tanzania imepata hata 500 meters of elevated road🀣🀣
 
sio ushamba hzo nchi unazotaja wanajenga wenywe na hzo toll zinaajiri watu wao na kodi zinaneda kwenye serekali zao

kenya ndio nchi pekee ajira za toll zote zitaenda kwa wachina na pesa zote za toll zitaenda kwa wachina kwa miaka 30 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

unaposema america au europe nchi zao zinajenga kwa pesa zao na kodi zinaenda kwa nchi zao wenyewe pamoja na ajira
 
never ever majengo huku ni mengi kiasi kwamba dar alone ina density kubwa ukusanye nairobi+ mombasa + kisumu combined ndio mutafkia nusu yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hizo rangi za kwenye ngazi ndio rangi yake na Jengo ni jipya, au udongo kutoka Site ya Expressway [emoji1787].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…