Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ntawaaibishia mji bure..ata ukajitoa ufahamu unaufahamu vizuri mziki wa msa.ulikuaibisha sana hapahapa hujawarudia tena
Hahahahah picha hunaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Niliwaambia mapema changanya mombasa na nairobi na kisum mbele ya dar hutoki nakwambia
 
Hahahahah picha hunaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Niliwaambia mapema changanya mombasa na nairobi na kisum mbele ya dar hutoki nakwambia
dar changanya na mwanza alafu uilete kwa msa..hapo ntakija faster sana kupost picha
 
damn!!,nairobi looks so beautiful when you view it from the top angle.

you might confuse it with manhattan, newyork .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahaa...vipi kijana.ile dozi ya msa na mwanza tuirudie nni?
1590.5 km sq changanya mombasa na nairobi kisum na kwengineo hutoboi hata ncha
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Pesa nyingine Billion 689 waziri mkuu amesema zilipwe Mara moja kwenye Halimashauri kutoka kwenye kampuni ya gesi ya TOL. Hapa Kazi Tu.
 
Majadiliano kuhusu pesa zetu za madini $150billion na $40billion za faini jumla ni $190billion. Huku wakenya wakiendelea kulia na njaa sisi tunapiga madili makubwa kubwa ya dunia



Mtapigwa chenga mshangae ngojeni whites can be very bright theoretically they will seek all necessary loopholes, mtachezewa poker hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1590.5 km sq changanya mombasa na nairobi kisum na kwengineo hutoboi hata ncha
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
acha tupige kura mwanzo...saa izi tuko bize na campaign ya kuenda canaan.tukimaliza tutakujaliamsha tena lile la over 20 complete na under construction ndio tuwatokomeze kabisa...naona ligi za namna ii unazipenda sana..hehee
 
acha tupige kura mwanzo...saa izi tuko bize na campaign ya kuenda canaan.tukimaliza tutakujaliamsha tena lile la over 20 complete na under construction ndio tuwatokomeze kabisa...naona ligi za namna izi unazipenda sana..hehee
Sisi tunasubiria vita sio uchaguzi tena kama ndio mushaanza kuuwana na mapema hvoπŸ˜€
Nakukaribisha sana
 
Mtapigwa chenga mshangae ngojeni whites can be very bright theoretically they will seek all necessary loopholes, mtachezewa poker hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeshikilia makontena 277 yanadhahabu na almasi wao pia wanajua ndio maana wamekuja kujadiliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kama nyie munawaogopa whites basi hapa wamefikaπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…