joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Ndio inashangaza nchi yenye watu wachache inashindwa kuwalisha chakula cha kutosha badala yake instegemea nchi yenye watu wengi ndio iwapelekee chakula[emoji23][emoji23][emoji23].Na ndo ujue nyie ni bongo lala yaani kenya na upungufu wote huu...idadi ya wati iko chini, madini hatuna...ardhi ya rotuba hatuna lakini bado sisi ni ma bossi wenu....dar...yaani mkenya atakupigia kiingereza na kiswahili taratiibu...yaani hekima tu... nyie mnazo hizi zote lakini bado ni wadogo wetu.... haya heb niambie kama sio uzuzu huu ni nini?
Yani uwaeleweshe vipi hawaelewi hawa vichwa maji. .....achana nao.ushakutaΓ±ab na mwarabu anagonga kisukuma mbaya....
wapo wengi wasio kua na ndugu oman au yemen au india au pakistan so ni watanzania wenzetu (asili yao tanzania)
You dickhead why are you quoting me on personal opinions? People have different perspectives/opinions on life and that doesn't make it gospel truth. Sasa wewe utasemaje kuhusu hizi comments za watanzania wenzako kuhusu Kenya?Hahahahahaaa
Cc Coco reborn Don YF Tony254 komora096 NairobiWalker Nicxie Teargas nairobae KENPAULITE MK254
Heheheee. Fimished products gani? π€£π€£π€£Yaani Tanzania imekamata kila kitu Kenya, kuanzia finished products mpaka raw materials
Today on things that never happened.............................Kuna siku nilikuwa Nairobi, nikaita uber kuelekea Airport, ikaja na dereva alikuwa dada mmoja, akanisalimia vizuri then baada ya kuketi kwenye gari, akaniuliza kwa Kiingereza chao chenye accent mbovu, you donβt look Kenyan, where do you come from? Nikamjibu kwa kiswahili, unahisi unaweza pata wapi accent nzuri kama hii ya Kiingereza na Kiswahiliβ¦β¦?? Akacheka sana, kumbe wewe ni mTZ? Unatoka where all of our foods come from? Nikamwambia kwa utani βnaam, na siku mkituletea za kuleta mtakuwa hamli hapaβ huu utani ukamuingia alafu akaanza kufunguka namna Kenya imeoza na jinsi ambavyo land yao kidogo yenye rutuba badala ya kuzalisha chakula inazalisha maua na makorolokolo mengine ikiwaacha wakenya kibao na njaa sababu pia inamilikiwa na watu wachache.
Kiukweli niliwaonea sana huruma Wakenya hasa yule dada alivyoongea kwa uchungu, kidogo tu nimlipie nauli nimlete Bongo sababu alikuwa kaishakubali kuja kufanya hustles zake huku kama nikim-guarantee makazi ya muda na pa kuanzia. Tatizo hakuwa mzuri sana na haya mambo ya hisani wabongo tuliishaachana nayo baada ya ukombozi wa Afrikaβ¦β¦.[emoji28][emoji28] Wakenya wako desperate sana aisee.
Jamaa unaropokaga sana, alafu eti unasema tz no domodomo tu πππ Owky mimi nipo hapa kukuelimisha.. tuanzie kwenye reli.. this is TZ's high speed rail roads π1. Wacha nikutoe ushamba; any standard gauge rail system can handle high speed trains., up to 350km/h or more.., SGR sio train, ni rail nyambaff., wacha nitumie lugha ya chekechea; kwa mfano, Expressway ama superhighway sio gari ni barabara., mtu anaweza kununua ferari na mwingine akanunua probox, yote yanapita kwa same road speed tofauti., so electric train ni a mere powering system ya train na kuna yenye is powered by diesel na inaweza kukua upgraded anytime ukipenda, sio kitu cha ajabu, nikama mimi ninunue electric Honda C., na mwingine anunue ya petrol, zote zinatumia njia moja tu.., alafu stations zenu ni ugly though, hapo mlichemsha π π
2. BRT is a road system with designated lanes solely for rapid buses just for uninterrupted seamless flow., it's just a type of road infrastructure, Nairobi is creating such lanes along Thika road and some will be along Mombasa road and Lang'ata road., hakuna cha ajabu pia., zero reasoning π π π hapa Dar 10 Nairobi 6.., (kwa vile mko na running BRT), though coverage ni small in comparison na size ya mji., mko na mwendo.,
3. Eti uwanja wa kisasa, Nairobi ilijenga stadium ya 60,000 seating capacity 1986, na ujue ni a sports complex, Dar ni kiwanja tu ya mpira na pengine riadha, Nairobi ni sports complex, with aquatic stadium na indoor games arena., hapa nasema Nairobi 10 Dar 5.., (Dar has just a single sporting facility), Nairobi has a sports complex na Nyayo stadium π π π π
4. Airport ya kisasa eti, unajau maana ya neno kisasa? ama ulikua unamaanisha muonekano? yaani hiyo godown yenu unaita ya kisasa eti? π π , "umekufa wewe!"., (kwa maneno ya Levo, baada ya kufika JKIA).., Haya Nairobi has three airports, Moi Airbase, Wilson Airport na JKIA, Dar moja.., so nasema Nairobi 10 Dar 5.., wacheni kujitekenya kisha mnacheka wenyewe π π π π π π
Let's talk about manufactured products.Hapa vipi, π€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ
Yani sasa umejibu?., ulisoma nilicho andika ama pia na wewe umekurupuka tu ovyo ovyo? unatazama muonekano ama unafafanua neno kisasa? π π ., JKIA sio league yenu dogo.., Tz terminal zote ndani ya godown ndio unaanika hapa vipicha kwa angles za kupendeza kisha unapiga kifuaπ π π ., aiport moja tu., unajua ata umbali wa terminals za JKIA ziko vipi?, pili, ume post tu kiwanja cha mpira kasarani., wapi aquatic stadium? indoor arena? yaani unaokota vipicha utumie kueneza fikra zako za kipropaganda, unajitekenya na kucheka π π ngojeni 25 years.., Standard guage rail supports high speed train.., bado haukuelewa..,niondolee your ignorance dogo, it is infectious! π π π π π π π π π πJamaa unaropokaga sana, alafu eti unasema tz no domodomo tu πππ Owky mimi nipo hapa kukuelimisha.. tuanzie kwenye reli.. this is TZ's high speed rail roads πView attachment 2053305vs kenya SGRView attachment 2053306hizo picha hapo juu zinajieleza .. kwahyo hapo mzee ni gape tumewapiga tayari, endeleeni kuota ni lini mtaweka umeme kwa reli yenu.. TZ 10-7 KE
2. Suala la BRT naona umejipendelea πππ, you only have two bus stops U/C while Tz BRT phase1 is functioning with more than 170 buses, and the 2nd is expected to be completed next year .. hapa marks ni TZ 10-1 KE.
3. Suala la uwanja jamaa unanichekesh sana πππ.uache Roho mbaya, owky sipo hapa kukusuta Ila kukukumbusha tu.. this is TZ's stadium πuko na capacity ya watu 60k na hio ni kutokana na idadi ya viti vyote uwanjaniView attachment 2053318
View attachment 2053320
Vs your so called international stadium πView attachment 2053324View attachment 2053326tofauti zao kE uwanja wenu ni out of fashion+watu wanakaa kwenye concrete (hakuna viti) sijui hiyo capacity ya watu 60k pp umeipataje au ulikadiria watu watakao jipanga kwa concrete ππππ.. kwahyo hapa marks will be TZ 10-5 KE.. ni aibu kutaka kulinganisha hivi vitu viwili..
kuhusu indoor Arena ya taifa ni kitu kingine kabisa.. na jibu ni kwamba KE iko na Indoor Arena moja tz nill, kwahiyo marks will be KE 10-0 Tz
4. Ukisema International airport unazungumzia ile infrastructure kwaajili ya ndege kutua na kupaa kimataifa (nyinyi mko nazo na sisi pia tuko nazo) lakini tukisema modern International airport maana yake inahusianisha na muonekano wa kisasa, ambapo JNIA ni modern compared to yours au kwa maneno mengine naweza kusema JNIA iko na muonekano mzuri ukilinganisha na Airport yenu.. heb ona π JNIAView attachment 2053340View attachment 2053342View attachment 2053343View attachment 2053344View attachment 2053345View attachment 2053347View attachment 2053348vs your international airportView attachment 2053373View attachment 2053374View attachment 2053375View attachment 2053376View attachment 2053377View attachment 2053383my take: macho yangu hapa yanaona world class infrastructure ulioyojaribu kulinganisha na Airport yenu ya JKIA .. ukizingumzia u busy sawa mnashinda, ila kuzungumzia muonekano wa majengo then ntakucheka sanaaa ππππ Halafu ntakudharau pia.. hapa napo marks will be TZ 10-7 KE.. CASE CLOSED
Rudi darasani hapa π π π soma uelewe., fuatanisha mwenzako alitaka nini., fikra za kijingajinga niondolee., kukosa uelewaπ€£π€£π€£π€£π€£, mnatia huruma.., watu wa vipicha, hakuna tofauti kati yako na yule mtangazaji alie kua anajibizana na baba levo.., eti mataa yaliwaka kwa bridge.., raaaa! reasoning iko nje, yaani wapi na wapi! idiotsπ€£π€£π€£π€£ππJamaa unaropokaga sana, alafu eti unasema tz no domodomo tu πππ Owky mimi nipo hapa kukuelimisha.. tuanzie kwenye reli.. this is TZ's high speed rail roads πView attachment 2053305vs kenya SGRView attachment 2053306hizo picha hapo juu zinajieleza .. kwahyo hapo mzee ni gape tumewapiga tayari, endeleeni kuota ni lini mtaweka umeme kwa reli yenu.. TZ 10-7 KE
2. Suala la BRT naona umejipendelea πππ, you only have two bus stops U/C while Tz BRT phase1 is functioning with more than 170 buses, and the 2nd is expected to be completed next year .. hapa marks ni TZ 10-1 KE.
3. Suala la uwanja jamaa unanichekesh sana πππ.uache Roho mbaya, owky sipo hapa kukusuta Ila kukukumbusha tu.. this is TZ's stadium πuko na capacity ya watu 60k na hio ni kutokana na idadi ya viti vyote uwanjaniView attachment 2053318
View attachment 2053320
Vs your so called international stadium πView attachment 2053324View attachment 2053326tofauti zao kE uwanja wenu ni out of fashion+watu wanakaa kwenye concrete (hakuna viti) sijui hiyo capacity ya watu 60k pp umeipataje au ulikadiria watu watakao jipanga kwa concrete ππππ.. kwahyo hapa marks will be TZ 10-5 KE.. ni aibu kutaka kulinganisha hivi vitu viwili..
kuhusu indoor Arena ya taifa ni kitu kingine kabisa.. na jibu ni kwamba KE iko na Indoor Arena moja tz nill, kwahiyo marks will be KE 10-0 Tz
4. Ukisema International airport unazungumzia ile infrastructure kwaajili ya ndege kutua na kupaa kimataifa (nyinyi mko nazo na sisi pia tuko nazo) lakini tukisema modern International airport maana yake inahusianisha na muonekano wa kisasa, ambapo JNIA ni modern compared to yours au kwa maneno mengine naweza kusema JNIA iko na muonekano mzuri ukilinganisha na Airport yenu.. heb ona π JNIAView attachment 2053340View attachment 2053342View attachment 2053343View attachment 2053344View attachment 2053345View attachment 2053347View attachment 2053348vs your international airportView attachment 2053373View attachment 2053374View attachment 2053375View attachment 2053376View attachment 2053377View attachment 2053383my take: macho yangu hapa yanaona world class infrastructure ulioyojaribu kulinganisha na Airport yenu ya JKIA .. ukizingumzia u busy sawa mnashinda, ila kuzungumzia muonekano wa majengo then ntakucheka sanaaa ππππ Halafu ntakudharau pia.. hapa napo marks will be TZ 10-7 KE.. CASE CLOSED
Ukijumlisha na phase 3 ni 1000+ km
SGR phase one and two 722km
Kwenye suala la hela,lazima uwe aggressive jirani!Eti hana tamaaa...hebu nenda gikombaa ujionee wachagaa wanavyo hemea hela....
Halafu hapo kwa moyo wa huruma ..uongo mtupu....mi nshakuwa tz...na i was so discriminated apart from one mzee kibiringi...abarikiwe sana... lakini kwa wengi wenu...mkiona mgeni mnadhani ame come kuwanyanganya kidogo mlicho nacho...toka lini tajiri akaibia maskini?
Wanapigana kuni c mchezo, wapo 55milioni kanchi kadogo na naskia wameshafika milioni 60.alaf eti hawazaani hawa watu [emoji23][emoji23]
hawa watanzania wanafaa kukulipa karo ya kuwasomeshaRudi darasani hapa π π π soma uelewe., fuatanisha mwenzako alitaka nini., fikra za kijingajinga niondolee., kukosa uelewaπ€£π€£π€£π€£π€£, mnatia huruma.., watu wa vipicha, hakuna tofauti kati yako na yule mtangazaji alie kua anajibizana na baba levo.., eti mataa yaliwaka kwa bridge.., raaaa! reasoning iko nje, yaani wapi na wapi! idiotsπ€£π€£π€£π€£ππ
1. Wacha nikutoe ushamba; any standard gauge rail system can handle high speed trains., up to 350km/h or more.., SGR sio train, ni rail nyambaff., wacha nitumie lugha ya chekechea; kwa mfano, Expressway ama superhighway sio gari ni barabara., mtu anaweza kununua ferari na mwingine akanunua probox, yote yanapita kwa same road speed tofauti., so electric train ni a mere powering system ya train na kuna yenye is powered by diesel na inaweza kukua upgraded anytime ukipenda, sio kitu cha ajabu, nikama mimi ninunue electric Honda C., na mwingine anunue ya petrol, zote zinatumia njia moja tu.., alafu stations zenu ni ugly though, hapo mlichemsha π π
2. BRT is a road system with designated lanes solely for rapid buses just for uninterrupted seamless flow., it's just a type of road infrastructure, Nairobi is creating such lanes along Thika road and some will be along Mombasa road and Lang'ata road., hakuna cha ajabu pia., zero reasoning π π π hapa Dar 10 Nairobi 6.., (kwa vile mko na running BRT), though coverage ni small in comparison na size ya mji., mko na mwendo.,
3. Eti uwanja wa kisasa, Nairobi ilijenga stadium ya 60,000 seating capacity 1986, na ujue ni a sports complex, Dar ni kiwanja tu ya mpira na pengine riadha, Nairobi ni sports complex, with aquatic stadium na indoor games arena., hapa nasema Nairobi 10 Dar 5.., (Dar has just a single sporting facility), Nairobi has a sports complex na Nyayo stadium π π π π
4. Airport ya kisasa eti, unajau maana ya neno kisasa? ama ulikua unamaanisha muonekano? yaani hiyo godown yenu unaita ya kisasa eti? π π , "umekufa wewe!"., (kwa maneno ya Levo, baada ya kufika JKIA).., Haya Nairobi has three airports, Moi Airbase, Wilson Airport na JKIA, Dar moja.., so nasema Nairobi 10 Dar 5.., wacheni kujitekenya kisha mnacheka wenyewe π π π π π π
unaumia π π π πWanapigana kuni c mchezo, wapo 55milioni kanchi kadogo na naskia wameshafika milioni 60.
Mifukara watoe wapi π π πhawa watanzania wanafaa kukulipa karo ya kuwasomesha
hehehe.......the problem with tanzanians is that if they build some glassy structure they think thats the end of life....JKIA has underpasses and flyovers right inside it and international parking structures and many logistic companies including high end hotels.......Jamaa unaropokaga sana, alafu eti unasema tz no domodomo tu πππ Owky mimi nipo hapa kukuelimisha.. tuanzie kwenye reli.. this is TZ's high speed rail roads πView attachment 2053305vs kenya SGRView attachment 2053306hizo picha hapo juu zinajieleza .. kwahyo hapo mzee ni gape tumewapiga tayari, endeleeni kuota ni lini mtaweka umeme kwa reli yenu.. TZ 10-7 KE
2. Suala la BRT naona umejipendelea πππ, you only have two bus stops U/C while Tz BRT phase1 is functioning with more than 170 buses, and the 2nd is expected to be completed next year .. hapa marks ni TZ 10-1 KE.
3. Suala la uwanja jamaa unanichekesh sana πππ.uache Roho mbaya, owky sipo hapa kukusuta Ila kukukumbusha tu.. this is TZ's stadium πuko na capacity ya watu 60k na hio ni kutokana na idadi ya viti vyote uwanjaniView attachment 2053318
View attachment 2053320
Vs your so called international stadium πView attachment 2053324View attachment 2053326tofauti zao kE uwanja wenu ni out of fashion+watu wanakaa kwenye concrete (hakuna viti) sijui hiyo capacity ya watu 60k pp umeipataje au ulikadiria watu watakao jipanga kwa concrete ππππ.. kwahyo hapa marks will be TZ 10-5 KE.. ni aibu kutaka kulinganisha hivi vitu viwili..
kuhusu indoor Arena ya taifa ni kitu kingine kabisa.. na jibu ni kwamba KE iko na Indoor Arena moja tz nill, kwahiyo marks will be KE 10-0 Tz
4. Ukisema International airport unazungumzia ile infrastructure kwaajili ya ndege kutua na kupaa kimataifa (nyinyi mko nazo na sisi pia tuko nazo) lakini tukisema modern International airport maana yake inahusianisha na muonekano wa kisasa, ambapo JNIA ni modern compared to yours au kwa maneno mengine naweza kusema JNIA iko na muonekano mzuri ukilinganisha na Airport yenu.. heb ona π JNIAView attachment 2053340View attachment 2053342View attachment 2053343View attachment 2053344View attachment 2053345View attachment 2053347View attachment 2053348vs your international airportView attachment 2053373View attachment 2053374View attachment 2053375View attachment 2053376View attachment 2053377View attachment 2053383my take: macho yangu hapa yanaona world class infrastructure ulioyojaribu kulinganisha na Airport yenu ya JKIA .. ukizingumzia u busy sawa mnashinda, ila kuzungumzia muonekano wa majengo then ntakucheka sanaaa ππππ Halafu ntakudharau pia.. hapa napo marks will be TZ 10-7 KE.. CASE CLOSED
Today on things that never happened.............................
PS............no Kenyan has ever said, our best land is used to grow flowers. (Flowers in Kenya are grown in arid areas) That's a statement I only hear from JF Bongolalas. lol. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]