Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

still the same mall.......village town
 
Wenzako hizi picha za hili eneo wamechoka kuzipost tayari, mana leo ni siku ya tatu kila siku napost picha mpya nyingi mno we unarudia zile zile πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, hamna kitu cha kuonyesha hapo kipoison .. pumzika kidogo upate maji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. me nikajua sijui utapost kitu gani.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkipata estate kama hii in Mwanza ama Arusha nitag.., with same density, average estate siongelei high end.., kuna mtanzania alidhani hapa ni maeneo ya CBD ya Kisumu.., kuna mwingine kasema hapa ni Nairobi, akamwambia aliye post awache ujinga "..hapo ni nairobi.." yaani nje ya Dar hakuna mji wa kulinganishwa na Kisumu kikamilifu., ni visehemu tu mtu ataleta na Kiswahili mingi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚








 
Hakuna ya kujibu kutoka Mwanza ama Arusha tumengoja hadi tumechoka ukweli., yaani mko down.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Next Mall? ata kwa Eldoret usijaribu dogo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Inasumbuka sana, nakurahisishia, ni hapa πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vumbi tupu.. ndio ufanishe na hapa kweli πŸ‘‡mavi
 
Inasumbuka sana, nakurahisishia, ni hapa πŸ‘‡View attachment 2051127πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vumbi tupu.. ndio ufanishe na hapa kweli πŸ‘‡View attachment 2051132mavi
Aka kadogo, yenye mifukara haiwezi afford πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ yaani blocks zinahesabika πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
potelea mbali dogo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ..,
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hiz picha wenzako washapost Jana unaturudiaha nyuma mzee,
Kwa vile sijaona jibu mwafaka kutoka Arusha wala Mwanza dogo..., unapost tu vipicha na kuongeza Kiswahili, hazitoshi kujibu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Tena kwa pigo.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., on average bado sana dogo, wacha kujikaza ila tukiangalia on average, tuchunguze infrastructure, na residentials mna angukia pua., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., stick tu na angles kujiliwaza kama mnavyo fanya Dar πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Pumzi chache mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…