babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,456
- 36,106
[emoji109][emoji109][emoji109]Big up wabongo wote humu salaam nyingi toka nchi Fulani hivi, kwa kweli Tanzania tunapendwa sio Siri nimehisi kutokwa na machozi kwa uzur tunao julikana nao,kwanza The best 007 ,ichoboy01 ,babayao255 ,NDINDA ,Lusematic ,Geza Ulole ,Mkwanzania ,Tz_one passioner255 Njoga boy ,@Mjombe,Papi Chulo ,Chamoto ,eliakeem ,@Lwiva,mkorinto ,@gwakana etc
Big up na wote ambao sijawataja na Wana fight kuona dizzim na Tanzania Iko juu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Nimeitaja jina hapo UWC East Africa campus Arusha, u can google it, hiyo sio resort ya Serengeti ninazo resort za Serengeti ukitaka pia ntaweka humuunarudiarudia resorts za serengeti....lol
Pamoja Sana brotherππThank you so much bro
Kama kitu ukijui Bora ukae kimyaπhii morogoro ni kama lodwar tu
πππππ Nasubiri assignment nyingineKwa hiki kipigo ulichotoa baba shikamoo, wakirudi watarudi na adabuβ¦..yaani ufananishe mji wenye daladala za baiskeli na jiji ambalo lilimtoa βushambaβ hadi Rais Clinton? Ngoja miradi yetu iishe baada ya miaka 3-5 watakuwa wanashindanisha kapoison na Shinyangaβ¦..[emoji28][emoji28] hongera sana Mkuu, umetuheshimisha vilivyo[emoji1477]
Kinachoonekana ni kikubwa kuliko Kipoison villagehii morogoro ni kama lodwar tu
hehe.....uliamua kutumia akili kama kofia.....nigga trippin because of the overgrown village of arushaKinachoonekana ni kikubwa kuliko Kipoison village
matope hadi kwa resort......
Yaani unamuita cheap traveller mwenye amezunguka nchi nyingi mno kuliko any youtuber kutoka TZ., anashinda pia akina African traveler in scope of the countries and cities ame cover, sio New York, Colombia, Barbados, China, SA, etc na pia hii Tz yenu fukara,kwanza tafuta clip alivyo anika Mwanza sehemu ya matajiri, vumbi city π π π π π, ila yeye halinganishi wala kukejeli, lakini ukweli una anikwa wazi wazi, ni uchungu lakini zoea π π π π , watanzania na domo domo, lazima uingize kiswahili wakati mnafinywa, ameanika ukweli kuhusu Morogoro, sasa pia kuna google earth, hiyo kiswahili chenu itabakia tu kukua lugha, haotobadilisha ukweli π π π π π π π πSama boy 255 mkuu ahsante kwa kupeperusha bendera yetu!
Umezoea kusukumwa tope ndio maana unataja taja tope ovyo.matope hadi kwa resort......
Heb acha uongo mzee hao watu nawajua, African travella nchi aliyofanikiwa kwenda ni Ghana pekee tena kwa ofa ya WODE MAYA (Ghanaian) huyo mwamba ni cheap kwasababu hata content zake zinajieleza zanyewe amekuja tz amesafiri kwa basi mpaka akili zikamkaa sawa πππ kutoka Dar mpaka Mwanza unafkiri ni mchezo.? Safari ya masaa 18 πππ alaf useme yupo vizur .. kupata shavu la kusafiri ni vitu vya kawaida je kama halipii yeye tickets and everything concerning his trips to abroad, we utajuaje.? Quality camera zenyew Hana πππ.. alaf vipi mbona huitetei Kisumu babu.? ππInaangamia uku, inaangamizwa na ile mlikua mkiita town Chuga ππYaani unamuita cheap traveller mwenye amezunguka nchi nyingi mno kuliko any youtuber kutoka TZ., anashinda pia akina African traveler in scope of the countries and cities ame cover, sio New York, Colombia, Barbados, China, SA, etc na pia hii Tz yenu fukara,kwanza tafuta clip alivyo anika Mwanza sehemu ya matajiri, vumbi city π π π π π, ila yeye halinganishi wala kukejeli, lakini ukweli una anikwa wazi wazi, ni uchungu lakini zoea π π π π , watanzania na domo domo, lazima uingize kiswahili wakati mnafinywa, ameanika ukweli kuhusu Morogoro, sasa pia kuna google earth, hiyo kiswahili chenu itabakia tu kukua lugha, haotobadilisha ukweli π π π π π π π π
Utaamua mwenyewe sasa, hiyo sio kazi yetusa kati ya mwanza na arusha. gani zaidi
Unapanuliwa!
marwa huleta vitu kwa ground...he doesnt sugar coat.....Yaani unamuita cheap traveller mwenye amezunguka nchi nyingi mno kuliko any youtuber kutoka TZ., anashinda pia akina African traveler in scope of the countries and cities ame cover, sio New York, Colombia, Barbados, China, SA, etc na pia hii Tz yenu fukara,kwanza tafuta clip alivyo anika Mwanza sehemu ya matajiri, vumbi city π π π π π, ila yeye halinganishi wala kukejeli, lakini ukweli una anikwa wazi wazi, ni uchungu lakini zoea π π π π , watanzania na domo domo, lazima uingize kiswahili wakati mnafinywa, ameanika ukweli kuhusu Morogoro, sasa pia kuna google earth, hiyo kiswahili chenu itabakia tu kukua lugha, haotobadilisha ukweli π π π π π π π π
Marwa a.k.a the cheapest content creator πππmarwa huleta vitu kwa ground...he doesnt sugar coat.....