For now Kenya ina collect revenue bandarini lakina Ina Deni. China wakibaki Na Bandari Deni linatupiliwa mbali lakini Kenya haitapokea revenue.... Ila bado wakenya watapata the services of the port... Since China ndo utakua inapikea revenue it's ensure it has improved the port and itakua inapeana efficient services ndipo wapate mapato mengi. .. in the process benefiting mwananchi was kawaida with good port services sijui kama wanielewaYaani umpe mgeni bandari bado utegemee faida kwa taifa lako? Wakenya mnapenda kuandika pumba kwa english. Dumb argument.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hata wengi wasipo kijua Haina maana kuwa Ni cha tanzaniaKiswahili hamjui, speaker wenu hata kusoma tarakimu hajui, yaani hata kusoma kiswahili unaona kabisa hawezi vipi kama angekua anahutubia moja kwa moja bila kusoma?
Tunakuja kwa kasi sana uwa hatushindani kwa bloggers ila uwa tunafanya practical sasa subirini muone[emoji23][emoji23][emoji23] skia bangi, leta comparison, tukuaibishe, hizo towns zenyu hamna kitu
Umeenda site lini mkuu? Mbona tunaopita kila siku kwenye mradi kazi zinaendelea.Msitutie aibu kumbe mnaandika tu hamfikagi maeneo husika.Kwa upande wa Dar es Salaam eneo kililokua linasumbua ni eneo la Daraja kutoka Station hadi kwa mnyamani Daraja limeisha wanamalizia Reli na by January wanaweza kua wamemaliza.Tatizo letu tulipenda mbwembwe badala ya accuracy.Sgr imesimama kabisa hakuna chochote anacho sema chenye kutekelezwa huyu mama ni hasara ya miaka 5 tutakayo pitia ,ukweli ni kwamba wanawake hawafai kupewa uongozi nchini
mnaishi kwa kukariri.Barabara yetu ya Zege Njombe-Ludewa JPM alicha imejengwa almost 25km leo zimebaki labda km 5 kati ya hamsini na kazi kubwa ya imefanyika toka july hadi hii Disemba.Haya kigongo busisi mkandarasi kaambiwa juzi na Mbarawa aongeze nguvu kazi na aongeze speed.Huyu wa BRT aliambiwa arudie km 4 alizofanya uhuni.Nyie mnataka kipi mjue kazi zinafanyika.Saidieni kuripoti uozo badalaya kuota mchanaMafisadi ya kikwete yanatengeneza hati feki za wakandarasi wa michongo hiyo ndiyo sababu
Nimegundua Kuna watu tunaandika humu na hatujawaji kuona miradi.Juzi juzi nilikua kilosa nimeona waturuki wapo kule wanapambana vilivyo na like ndio eneo korofi Sana kwa mvuaMmmmh mkuu hapa naomba nipingane na wewe. [emoji23][emoji23][emoji23]
SGR ujenzi unaendelea tu vizuri, nilipita Dodoma juzi ujenzi unaendelea vizuri tu na mkandarasi yupo site.
Embu basi tujaribu kupinga na kukosoa kwa kutumia facts.
Nimegundua Kuna watu tunaandika humu na hatujawaji kuona miradi.Juzi juzi nilikua kilosa nimeona waturuki wapo kule wanapambana vilivyo na like ndio eneo korofi Sana kwa mvua
Chuga kama chugaView attachment 2049250View attachment 2049251kuna mbwa za kunya land kwasababu ya roho mbaya, eti zinataka kulinganisha na uchafu wao eti nayo ni Citi, the so called Kisumu village
Jamaa ana chuki zake binafsi kwa SSH.Nimegundua Kuna watu tunaandika humu na hatujawaji kuona miradi.Juzi juzi nilikua kilosa nimeona waturuki wapo kule wanapambana vilivyo na like ndio eneo korofi Sana kwa mvua
Tuonyeshe kitu kama hii hapo ChugaChuga kama chugaView attachment 2049250View attachment 2049251kuna mbwa za kunya land kwasababu ya roho mbaya, eti zinataka kulinganisha na uchafu wao eti nayo ni Citi, the so called Kisumu village
well put my brother, acha ukweli nayo usemwe. op waTz wataelewa hichi kingerezaKenya, a country with zero natural resources, and double your GDP.
Nyinyi bila hizo minerals mngekuwa kama Somalia tu.
And before you jump on your tired 'GDP ya makaratasi', Kenyans are paid a lot more than Tanzanians.
Kenyan doctors are paid 3 times Tanzanian doctors.
Kenyan teachers, policemen, army, civil servants, private sector workers. etc.. At least double Tanzanians.
I've been to TZ several times and lived a life of luxury without breaking bank.
MTanzania akija Kenya the best he can do is kuwa omba omba ama kuishi maisha ovyo.
99.99% of Tanzanians cannot even afford a weekend vacation in Kenya or in any other country outside bongolala.
Taja jina nikuoneshe kitu.
Who is Akothee by the way is she even a musician?Akothee is richer than diamond digest that.
Unionyeshe nini? Dreamhouses ama?Taja jina nikuoneshe kitu.
Wewe taja jina usiongeze neno mkuu.Unionyeshe nini? Dreamhouses ama?
Maskin huna cha kuonyesha zaidi ya hizo calvat na NMT ๐๐๐.. na sio kama Arusha hakuna NMT, lahasha mimi ndio sina picha.. lakini japo kwa uchache leo nimekutaftieni. Naona umempost mpaka soko ๐๐๐you've not recovered from the shock of how Kisumu walloped your dear arusha......unarusharusha tu feelings kama rushwa View attachment 2049410View attachment 2049411View attachment 2049412View attachment 2049413
Jana Waziri wa Ujenzi alikuwa anakagua Isaka mwanza ..anasema iko frsh na kawaambia waandishi wa habari wawe wanapita frequently kutoa updates kwa wananchiBRT phase 3 tangu mwaka jana mwezi Nov walitangaza Tender, mpaka leo mwaka mmoja baadae ht kumtangaza tu mkandarasi alieshinda tender imekua tatzo.
Enzi zile ulikua unawaona mawaziri wakipishana kuangalia status za miradi which helped to push miradi, now days wapo kimyaa utadhani sio wao waliokua na mwendazake awamu iliyopita.
SRG kipande cha Mwanza Isaka sijawahi kupata updates zake, kinafanyika kweli?
Mbona unapost picha porini mzee ili nione hayo majani au.? Au hiyo calvat .? ๐๐Tuonyeshe kitu kama hii hapo Chuga View attachment 2049447