Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata unifungie mabomu ya kujitoa muhanga sitoponda nchi yangu ila nitakosoa.

Kuna tofauti kubwa Kati ya kuponda na kukosoa.

Wengi huwa wanaponda wakidhani labda wanakosoa.

Kuponda na mihemuko havijaachana sana.
Nchi yangu naipenda sana nitasimama popote pale kuitetea siwezi kubali mtu anaiponda bila sababu za msingi, kama makosa yanafanyika nakosoa na kutoa alternative na kama cwezi kubadilisha basi naacha kama ilivyo au just simple tu naachana na uzi lkn co eti naiponda Tz, inakosa gani kwa mfano? Iko wazi waafrika wengi wangependa kuwa Watz lkn ndiyo haiwezekani, eti niiponde Tz alafu niisifie nchi gani Africa hii iliyojaa uozo.

Hawa Wakenya humu asikuongopee mtu wana maisha magumu mno kutokana na nature ya uongozi wao na ufinyu wa maliasili unaoikabili nchi yao, usiongopewe na vijengo viwili vitatu vya upande upande wanavyoweka humu, wana maisha magumu sana hata wao wananielewa vzr sn.
 
Jibu zuri sana hili.
 
Hasira za Walker255 hizi🀣🀣🀣
 
Mkuu Walker255 umetisha sana, wanasema wamekuignore lakini Kila siku wanaandika maparagragh juu yako🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…