Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe uoni hizo picha zipo tofauti upigwaji cheki rangi zake moja inasensi mwanga kushinda nyingine weka ya pamoja kama mimi hii ni ushahidi wa wazi najua unaona aibu kwa hii picha,hizo chembe za mwanga zilizopo tz ukizikusanya pamoja unapata mwanga mara 3 ya uliopo kenya ukikusanya pamoja maana kenya mwanga upo mombasa na nairobi tu
 
Picha ya Dar imechukuliwa kutoka umbali na ya Nairobi imechukuliwa kwa Karibu
Kwanza hizo picha mbili ni tofauti hata sensitivity ya mwanga tizama hizo picha eneo la giza kwenye kila picha moja hadi gizani ni tofauti ,hivyo mfumo wa kamera wa moja umesetiwa kuwa high contrast na high light sensitive kuliko picha ya dar jamaa nanatuona sisi ni mazuzu kama bunge letu [emoji1787][emoji1787]
 
this a fake satelite images,.. how can kampala be this blurred. then those lights in Southern Tanzania, is scam!. think they could be forest fires just like the ones you would see in midwestern australia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mukunya karusha mafiii huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kumbe umekubali kuwa hiyo picha tz inawaka zaidi ya kenya tena sehemu mbalimbali tofauti ya kenya ni nairobi na mombasa tu [emoji1787][emoji1787]tuliwaambia tunasambaza umeme vijijini mkasema sisi ni waongo sasa hiyo picha unavyo sema southern huko ndiyo umeme wa gesi umekungarisha maana ndiyo gesi inakopatikana nani mikoa ya uti wa mgongo wa tz katika kilimo, hiyo picha ni real sisi hatuna muda mchafu wa kuedit ujinga kama nyinyi ila tafuta hiyo picha kwenye mitandao au google utajua source yake acha maneno mingi za slum culture bana[emoji1787][emoji1787] achana na mambo za kijinga za forest fire bana wacha kutuchekesha huo moto wa kuwaka eneo ilo lote siungekuwa gumzo duniani au wewe ulioni ilo eneo ni kubwa sana
 
SGR inajibu tatizo la usafiri wa haraka na gharama ndogo kwa abiria na mizigo, SGR ni miongoni mwa vipaumbele kwasababu itasaidia kusafirisha mazao ya wakulima na bidhaa za viwandani.

SGR itasaidiana na bandari katika kusafirisha mizigo ya nchi jirani hivyo kuingiza kipato serikalini ambacho kitajenga hizo "Mlongazila Hospitals" nyingi zaidi, SGR inajibu tatizo la msingi la barabara na usafirishajj, Je space program inajibu tatizo gani la msingi hapa Tanzania?,

Nchi tajiri zenye hali nzuri kiuchumi Kama Qatar, Mauritius, Sychellese bado hazijafikiria Mambo ya space programs kwasababu bado ni Mambo ya baadae Sana na Wala sio muhimu Sana kwa maisha ya raia wao, vipi unawaza space program wakati dawa zote za binadamu na mifugo bado tunaagiza toka nje ya nchi?.

Mkuu lazima tukubali kwamba maisha ni hatua kwa hatua, Africa kwa ujumla ni bado Sana kuanzisha space programs, tunaweza kuanza kufundisha hayo masomo katika shule zetu na vyuo vikuu kwa maandalizi ya miaka 50 ijayo lakini sio Sasa hivi, ngoja kwanza tupambane na huu umasikini wetu kwanza, tuhakikishe chakula cha uhakika kwa raia wetu, bima za Afya kwa angalau 80% kwa raia wetu na upatikanaji wa maji, barabara na umeme kwa watu wote.
 
Yes halafu ukiwakamata ujanja wao wanalialia
 
taswira kamili, kenyaland vs mkudanganyika. original snapshop nimechukua saahivi toka google earth
 
Tokeni village mje jiji ile real
 
Shifting the goal post after thorough whopping 🤣🤣🤣🤣 tell your diaspora to work hard like Kenyans so that they can send billions of dollars back home. Yani the money which our diaspora sent back home is bigger than your entire tourism industry 😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…