Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mumekubali si mlikua mumekataa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Lazima mkimbzwe ndio mukubali, sisi hatujawai kata, kwanza tunapenda our matatu culture.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Matatu ni culture au ni umaskini .. by the way, by 2025 hizo mini buses zenyew zitaonekana kwa nadra sana hapo mjini kati.. si unajua phase 2 and 3 za BRT zipo njiani. U/C, na lengo letu ni kupiga phases 6 .. hii DSM ni balaa buana, kwenye masuala ya usafirishaji na kupunguza traffic congestion.. tuko poa sana
 
Hii picha inanichekesha sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2048021


Dar CBD ni ndogo sana kwa Nairobi, yani JNIA Airport hata inawaka kushinda CBD. Aibu gani hii. Barabara mingi hazina street lights. Hii ni kijiji kubwa tu. 🀣🀣🀣🀣 Mitaa hazina street lights wala high mast lighting.



Compare and Contrast. Nairobi inawaka hadi ndani ya clouds. 🀣🀣🀣🀣
 
Dar CBD ni ndogo sana kwa Nairobi, yani JNIA Airport hata inawaka kushinda CBD. Aibu gani hii. Barabara mingi hazina street lights. Hii ni kijiji kubwa tu. 🀣🀣🀣🀣 Mitaa hazina street lights wala high mast lighting.

Unakuja na huku angau upate nafuu lakini pia huchomoki nakushika kalio pia, street lights ni kama zote picha ni zamani iyo labda,πŸ‘‡hii ni Three kms from CBDhadi uko uswazi taa zinawaka kinoma kwenye barabara za uswazi.. NAIROBI usiku sijui itakua ni kituko gani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Picha ya Dar imechukuliwa kutoka umbali na ya Nairobi imechukuliwa kwa Karibu
 
Yani Airport inawaka kushinda CBD 🀣🀣🀣 🀣🀣🀣 Aibu kubwa aiseeee, mitaani mingi kumbe ni giza tu hakuna hata mulika mwizi.
 
Yani Airport inawaka kushinda CBD 🀣🀣🀣 🀣🀣🀣 Aibu kubwa aiseeee, mitaani mingi kumbe ni giza tu hakuna hata mulika mwizi.
Ila we jamaa ni hatari picha umeweka mwenyewe na taa zinaonekana zinawaka kila mahali n bado unasema hakuna hata mulika mwizi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, mzee nimekuvulia kofia, kumbe ndio tabia yenu kupinga mpaka vinavyoonekana kwa macho ya Kawai hilo eneo linawaka taa ni mkoa mzima mzee πŸ‘‡
 
So Una-admit kuwa Tanzania bado ni sleeping giant? Kwasababu kama nchi yenye uhuru wa miaka 60 na bado barabara zina vumbi na umeme ni tatizo inamaanisha kuwa Kwa miaka yote hii hata haya mambo Ambayo unaita ni ya β€œmuhimu zaidi” bado hayakuwa na priority Kwa serikali.

Kwa nchi yenye rasilimali kama Tanzania, uongozi bora ungekuwa umetuweka mahali ambapo Taiwan au South Korea ipo leo. Lakini kwasababu ya miaka ya uongozi mbovu na sera za kiuchumi zisizo na tija, bado tupo kwenye hali ya chini.

Unaponda space program? SGR yenye gharama ya matrilioni ya shilingi Mbona huisemi? Hudhani kuwa hizo fedha zingejenga hospitali nyingi kama Mlomganzila kote nchini? Lakini wote hapa tunakubaliana kuwa SGR ni muhimu kwenye kuinua sekta ya usafirishaji nchini Na pia kuwa na reli ya kisasa inatuweka kwenye sehemu Nzuri kiuchumi.

Space program itaongeza hulka ya sayansi na teknolojia nchini. Na tunaweza kuanza kidogo kidogo. Hakuna ulazima wa kuwekeza pesa nyingi Kwa wakati mmoja.
 
Taa za nyumba hizo. Kama taa zaa mulika mwizi zingekua zingeonekana.

Hii ndio taa ya mulika mwizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…