Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watz mmeona ujinga wa Wakenya? Ni kwamba wanapiga picha eneo moja lkn different angles, cc tunapost maeneo tofauti tofauti lkn wao eneo moja different angles, hiki ndicho kitu nawasifu wakunya kwenye picha.

Akipost kaeneo kamoja anakuja kumalizia na vi apartments vya upande upande kamaliza, yn Tz ingekuwa Kenya hawa jamaa wangeistua dunia na maphoto ya BRT, cable bridges and modern SGR.
 
Hawana chakuonyesha zaidi na Mimi nimedhamiria kuishi nae mpaka max
 
Wacaha excuse za kipuzi kama umeishiwa, ghorofa inaweza onekana hata 3 kilometers away. Mumezunguka hadi beach bado muingie kariakor sasa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣 Eti Miaka tisa, hizi hata sahii bado ziko Dar.

Hapo kuna vipanya hapo yani hivi πŸ‘‡.. sisi hatuwezi kuongea uongo mzee ndio kitu usichojua .. DSM hakuna vipanya kabisa vilishapigwa ban long time ago.. vitu utakutana navyo ni BRT buses na hizi mini buses tu πŸ‘‡vipanya tulishasahau vinafanaje
 
Wacaha excuse za kipuzi kama umeishiwa, ghorofa inaweza onekana hata 3 kilometers away. Mumezunguka hadi beach bado muingie kariakor sasa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umeanza na mbwe mbwe kibao upepo ukakuishia njiani, unapost mitaa ilile kila wakati πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nairobi ni tinny town tu mzee, najua tungeendelea zaidi ungeanza kupost estates πŸ˜‚πŸ˜‚ na high ways
 
Mumekubali si mlikua mumekataa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Lazima mkimbzwe ndio mukubali, sisi hatujawai kata, kwanza tunapenda our matatu culture.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…