Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is this the Rironi road that will end up at Mau Summit?

i am sure that spot cant go beyond 800 metres......Thika road is a 45 km 12 lane superhighway
Acha kuongelea vitu usivyovijua bro, hiyo barabara ndio inaitwa Morogoro road, inatokea katikati ya jiji, eneo linaitwa uhasibu university, mpaka kufika hapo ni 13 km long from CBD, ambapo inaenda mpaka Kimara mwisho ikiwa na six lanes (mbili katikati ni kwaajili ya BRT na nne kwaajili ya magari ya kawaida) and some section inaongezeka to 8 lanes, inafika mpaka Kimara mwisho, kuanzia Kimara mwisho ndio inaungana na barabara inaitwa Kimara-kibaha high way 19km .. kwahyo usijifanye unaijua Dar baba 😂😂😂
 
Mzee hivyo vipanya vimekatazwa mjini kitambo sana .. labda uniambie hizo mini buses zndio zinaruhusa ya kuingia mjini.. sina sababu ya kukudanganya mzee
Nimeona pia picha za tangazo la Vodacom enzi hizo wanatumia rangi ya blue kama utambulisho wao. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rudia majibu yangu zwazwa wewe, huo utumbo wote uliotaja nimeujibu .. hakuna kitu mnatuzidi mzee .. sijui iyo ICT Ila kila ulichotaja hapo mko nyuma yetu tena by far
Leta ushahidi kwamba tuko nyuma yenu kwa hayo mambo niliyotaja. Mimi naweza kukuwekea ushahidi kwamba tuko mbele yenu kwa hizo vitu zote
 
I think hii ni western bypass Kama sijakosea
Nope. Western bypass and Southern bypass zinajoin hapo mbele at place called Gitaru, This one goes straight all the way to Uthiru then it becomes Waiyaki way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…