Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NAIROBI
10946464_1553107708277706_946664598_n.jpg
2d6f88aa2a1e8bdaf63e27779bda967c.jpg
CiGM4l-XEAA2WLe.jpg
CjsBZNwVAAADVoS.jpg
 
Sisi sio wajinga wala hii sio nairaland
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 mumeanza kutengeneza juzi hahahahhaha sisi tunamiaka 6 tunatumia hio
View attachment 554665
umeuliza uoneshwe driving licence au umeuliza tumeanza kutumia lini?????
hamjamaliza mwaka tangu muanze kutumia smart driving licence na unasema miaka sita.... usitake nikupige za uso dogo....
 
umeuliza uoneshwe driving licence au umeuliza tumeanza kutumia lini?????
hamjamaliza mwaka tangu muanze kutumia driving licence na unasema miaka sita.... usitake nikupige za uso dogo....
hahaha mm ninayo license hio toka 2013 my frnd and i will show u na nime renew second time
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
umeuliza uoneshwe driving licence au umeuliza tumeanza kutumia lini?????
hamjamaliza mwaka tangu muanze kutumia smart driving licence na unasema miaka sita.... usitake nikupige za uso dogo....
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
2010 tanzania
2017 kenya😛😛😛😛😛
20170731_124534.jpg
 
NEWS
serikali ya kenya imepiga marufuku na kuweka sheria kali kwa photographer wanaopiga picha za muonekano wa majiji yao kwa ubaya kupewa adhabu kali

hivyo picha yeyote ya cities ni mali ya serikali

kwa mfumo huu no reality picture in kenyan ila reality ni hii
3d3fb1c5a8146246579cd96947310050.jpg
 
Back
Top Bottom