Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida ya hawa watu wako radhi kujiongopea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, sasa sijui ni kwanini wanakua hivyo, yani ni kama mgonjwa wa ukimwi anaebisha mbele ya hadhira kwamba sio mgonjwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa kwa hivyo kplc au tanesco wakibadilisha poles to concrete, picha za before za hio eneo automatically zinajiupdate au?
Umesoma post nilioreply? Huyo jamaa amesema ametoka kupiga pictures saa hiyo by his own hands na poles za umeme zote ni za miti tena poles zenyewe ni za hovyo kichizi

 
bado unaturudisha arusha village.......sidewalks ulipost parking ya hoteli ati side walks [emoji1787][emoji1787]
Heee parking ya hotel tena.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Matatizo haya jamani, mzee kwani mkikubali Kisumu haziwezani na Arusha mtakufa.?
 
Sasa kwa hivyo kplc au tanesco wakibadilisha poles to concrete, picha za before za hio eneo automatically zinajiupdate au?
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Wacha niwachukulie new pictures of Nairobi fresh from the camera as Sasa hivi hata muone weather vile kuko [emoji4]View attachment 2045858



Current situation πŸ˜…πŸ˜…
 
Kama hio ingine iko Tanzania, nitafunga hii account.
Hii Catheterization laboratory (Cath-lab) tumekua tukizitumia huu ni mwaka wa tano Sasa Serikali imefunga mtambo wa kisasa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wenye thamani ya shilingi bilioni 4.6
Tafadhali timiza ahadi yako ya kufunga "account" yako Kama ulivyoahidi[emoji23][emoji23][emoji23]

Katika advanced Health Services, Tanzania ni nchi ya tatu hapa Africa baada ya South Africa na Egypt, ninyi wakenya msijaribu kabisa kujilinganisha na Tanzania, never again, stupid [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wazee wa bone marrow transplant na cochlear wako wapi?
Tupo hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]33[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…