nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,127
- 1,839
maisha ya kibera au mathare siyo mchezo, lazima kichwa kivuruge tu hahahahahahhaThe baboon is not seeing his ass!.., mifukara hamuna lenyu Tz, nenda kadanganye pengine wamalawi, ila wale wanawajua na wamewadharau., jidanganyeni tu
We unaleta facts au upumbavu sasa hapa kuna nini cha ajabu.? πYes nabweka bweka na facts, ukweli lazima niwajuze muache kuota mchana π π π π
Ukiwaomba source wanaleta screen shot [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Hao wazee wako hovyo sana sikuhiz gear walioamua kuondoka nayo kwasababu kila uchao tunawazidi wameamua kusema sasa eti wao ndio designers wa miradi yetu [emoji23] [emoji23]
Nenda ukamlilie.Nikama unapenda mama wazee, mtafute anaishi mahali inaitwa gatundu
Ila wewe una uwezo mdogo sana wa kufikiri, πππ sasa nyinyi mnakusanyaga mtonyo mrefu while pesa ya kulipa polisi hamuna πππ miradi yote mnayoifanya mmekopa ππ munadaiwa hadi nchi inaelemewa madeni ππππ, halafu upo hapa kutubeza .. wewe ni chizi$9B!!., alafu mtu anaitaja Tz kwa sentensi moja na Kenya, ina maana with big populace, raiya wengi ni fukara sana., mama kaongeza tozo wamelia! Tz is poor, a software problem!
Wana Matatizo sana hawa watu πππUkiwaomba source wanaleta screen shot [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nionyeshe cha ajabu kwa barabara za Arusha zaidi ya hizi π π za Kisumu π π π π Unajiliwaza tu., yaani nje ya Kisumu CBD kuna flyovers, bichi vidimbwi na vilima ambavyo mnaviona tu pale Dar, kijiji cha ushamba., π π π πWe unaleta facts au upumbavu sasa hapa kuna nini cha ajabu.? πView attachment 2045070alafu huna hata aibu wewe mtu mzima hovyo, unnecessary calvat hii kwenye kijiji cha Kisumu ππ Hii inahitaji miaka 15 kufika ilipo Arusha
Eti South Africa ππππ unaropokwa tu kama kawaida. Nimekuambia hakuna transplant munaweza fanya hapo bongo bila kutuma tissue samples Kenya au nchi nyingine yenye machine ya tissue typing.Hahahaha, there is nor single Hospital outside South Africa which has done Liver transplant, Tanzania will be the second Country soon
If you can't do bone barrow transplant, how can you try to dream liver transplant in a shithole country like Kenya?, Where will you get a donor to donate liver?. It will take Kenya another 50yrs to be able to do liver transplant operations[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi serikali ya Kenya GoK (National govt) imeshindwa kulipa polisi wewe! ama uliona hii π taarifa unadhani GoK., kilaza wewe, Kenya sio size yenu, recurrent expenditure is well taken care of, salaries ya Civil servants GoK ishindwe, hiyo itakua ni Tz..,Ila wewe una uwezo mdogo sana wa kufikiri, πππ sasa nyinyi mnakusanyaga mtonyo mrefu while pesa ya kulipa polisi hamuna πππ miradi yote mnayoifanya mmekopa ππ munadaiwa hadi nchi inaelemewa madeni ππππ, halafu upo hapa kutubeza .. wewe ni chizi
Hivi kweli unakaza mbupu kuipigia kifua Kisumu mbele ya Arusha, you must be crazy eti kisa ki calvat πππ .. kwako wew ile calvat ni amendeleo kuliko biashara, makazi, barabara zote kwa ujumla wake , huduma za afya, huduma za maji na umeme, huduma za usafiri na usafirishaji n.k .. we unafkiri tukiangalia hizi sector Kisumu inaweza sogelea Arusha kwa maendeleo hata kwa ukaribu tu.? Jitathmini wewe mtu mzima hovyo huna akili timamu .. πSawa pia mimi nimeona, Tz iko na cities nje ya Dar, sawa tuliza moyo usikufe kwa pressure π π π π π π
Taarifa ipo na ilivyotoka mulifwata mkia tunaiweka kiporo wenye nazo watakukumbusha tuliza tako hapo.. na naona umelikimbilia hilo suala la mishahara kwa police πππ vipi serikali yenu inaweza kujenga hata 1km off tarmac road kwa pesa za ndani.? πππ. Nyie ni ushuzi mtupuWapi serikali ya Kenya GoK (National govt) imeshindwa kulipa polisi wewe! ama uliona hii π taarifa unadhani GoK., kilaza wewe, Kenya sio size yenu, recurrent expenditure is well taken care of, salaries ya Civil servants GoK ishindwe, hiyo itakua ni Tz..,
Ama ni hii taarifa inakutia kiwewe π π π π π π π inaitwa private arrangement sio mshahara.., hii ni KRA kivyake, a parastatal kwa internal budget yao,.., pole mko desperate mifukara..,
View attachment 2045088
Desperate π π π π hii π π ni which year na ni wapi exactly?.., angalia design ya matatu na magari hapo π π π π π , mtapata tabu sana.., unajaribu kulazimishalakini wapi! π π π π umekosa jibu kutoka Arusha ama Mwanza unatafuta pakutokea π π π πHivi kweli unakaza mbupu kuipigia kifua Kisumu mbele ya Arusha, you must be crazy eti kisa ki calvat πππ .. kwako wew ile calvat ni amendeleo kuliko biashara, makazi, barabara zote kwa ujumla wake , huduma za afya, huduma za maji na umeme, huduma za usafiri na usafirishaji n.k .. we unafkiri tukiangalia hizi sector Kisumu inaweza sogelea Arusha kwa maendeleo hata kwa ukaribu tu.? Jitathmini wewe mtu mzima hovyo huna akili timamu .. πView attachment 2045086eti kwako wewe Kisumu ni zaidi ya ARUSHA kwasababu ya huu uchafu hapo chini πππ we ni Tahira.. wakati maisha ya kisumu ni haya πView attachment 2045087baiskeli ndio vyombo vya usafiri πππ, sasa nikikuita wewe ni kilaza utakataa.? City center yenyewe ndio hiiπView attachment 2045091πππππ usiwe unataja taja huu uchafu kwenye vitu vya maana, hii Kisumu level yake Moshi πView attachment 2045095View attachment 2045096
Barabara zimejengwa mingi sana, fanya utafiti, eti km moja.., barabara serikali imejenga mingi sana, kwanza county goverments, chunguza wacha kukurupuka π π π .., hapa tuna post zile major., nyie pumzikeni na akina Malawi kule chini kilaza, π π π π π π ..,Taarifa ipo na ilivyotoka mulifwata mkia tunaiweka kiporo wenye nazo watakukumbusha tuliza tako hapo.. na naona umelikimbilia hilo suala la mishahara kwa police πππ vipi serikali yenu inaweza kujenga hata 1km off tarmac road kwa pesa za ndani.? πππ. Nyie ni ushuzi mtupu
Unaelewa kiswahili .? πππ, Sijakwambia barabara hazijajengwa ..nilichokuuliza serikali yenu inaweza kujenga hata 1km of paved road bila kukopa.?Barabara zimejengwa mingi sana, fanya utafiti, eti km moja.., barabara serikali imejenga mingi sana, kwanza county goverments, chunguza wacha kukurupuka π π π .., hapa tuna post zile major., nyie pumzikeni na akina Malawi kule chini kilaza, π π π π π π ..,
Nakujibu kikamilifu, barabara kujengwa kwa budget ya serikali., taxpayers money., yaani kutokana na ushuru.., mko hovyo, nani, mnapost fikra zenu hapa kwa wingi ili kujiliwaza, tunawatesa, hadi raha π π π π π π πUnaelewa kiswahili .? πππ, Sijakwambia barabara hazijajengwa ..nilichokuuliza serikali yenu inaweza kujenga hata 1km of paved road bila kukopa.?
ππππππππ Sasa hapa umepost nini mbona imerudi kitu kile kile.? Au unataka na mimi nipost jengo moja moja.? ππHuoni aibu kupost barabara za udongo humu tena CBD.?ππ Hii level zake ni moshi mzee πna moshi iko vizur coz lami imetawalaDesperate π π π π hii π π ni which year na ni wapi exactly?.., angalia design ya matatu na magari hapo π π π π π , mtapata tabu sana.., unajaribu kulazimishalakini wapi! π π π π umekosa jibu kutoka Arusha ama Mwanza unatafuta pakutokea π π π π
View attachment 2045097
Kisumu..,
Kondele ya sasa..,
View attachment 2045101
View attachment 2045099
View attachment 2045100
Yaani ata Dar haina mta wa kawaida kama hii hapa.., mko hovyo, mitaa kama hizi π mtazitaja kama mta za matajiri pale Tz., hovyo nyinyi π π π π π
Estate za Kisumu ni size ya CBD za Mwanza na Arusha π π π π
View attachment 2045103
View attachment 2045104
View attachment 2045105
View attachment 2045107
View attachment 2045108
View attachment 2045109
Milimani., Moshi ata hailingani na estate hapa Kisumu., hii ingekua CBD ya miji za Tanzania!, Kisumu ni estate moja tu π π π π
View attachment 2045111
View attachment 2045112
Huyo huwa anaita taarabu zake facts!Hivi kweli unakaza mbupu kuipigia kifua Kisumu mbele ya Arusha, you must be crazy eti kisa ki calvat [emoji23][emoji23][emoji23] .. kwako wew ile calvat ni amendeleo kuliko biashara, makazi, barabara zote kwa ujumla wake , huduma za afya, huduma za maji na umeme, huduma za usafiri na usafirishaji n.k .. we unafkiri tukiangalia hizi sector Kisumu inaweza sogelea Arusha kwa maendeleo hata kwa ukaribu tu.? Jitathmini wewe mtu mzima hovyo huna akili timamu .. [emoji116]View attachment 2045086eti kwako wewe Kisumu ni zaidi ya ARUSHA kwasababu ya huu uchafu hapo chini [emoji23][emoji23][emoji23] we ni Tahira.. wakati maisha ya kisumu ni haya [emoji116]View attachment 2045087baiskeli ndio vyombo vya usafiri [emoji23][emoji23][emoji23], sasa nikikuita wewe ni kilaza utakataa.? City center yenyewe ndio hii[emoji116]View attachment 2045091[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiwe unataja taja huu uchafu kwenye vitu vya maana, hii Kisumu level yake Moshi [emoji116]View attachment 2045095View attachment 2045096
Jaribu kuwa mkweli mzee, hautakufa kwa kusema ukweli, serikali yenu inaweza kujenga 1km of paved road bila kukopa.? Basi njoo unijibu inbox kama unaona aibu kusema hapa sitamwambia mtu ππππNakujibu kikamilifu, barabara kujengwa kwa budget ya serikali., taxpayers money., yaani kutokana na ushuru.., mko hovyo, nani, mnapost fikra zenu hapa kwa wingi ili kujiliwaza, tunawatesa, hadi raha π π π π π π π
Kumbe traffic lights zenyew mmepata 2019 uko Kisumuπππ Don YF huoni aibu.?Huyo huwa anaita taarabu zake facts!