Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nenda ukasemezane na Baba Levo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
One shot Nairobi chaliiiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2044769
Hii hapa πŸ‘† hakuna parklands, Ngara, Eastleigh, Kilimani, the mighty Eastlands πŸ˜‚ πŸ˜› πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ unapata taabu sana!
Hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡ ni 90% ya Developed area in Dar CBD., nje imebaki sehemu kidogo sana., kila kitu cha maana Dar ndani πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
So unakataa hii co parklands [emoji116][emoji116]
 
Triangular [emoji41]kila kitu muhimu kipo hapo. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Summarize Mwaka wa Battle in one Photo.

View attachment 2044784


View attachment 2044783
Picha moja kila kitu humo humo, kamji kadogo lkn wanapiga kelele utadhani inakaribia Dar japo robo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We have beaten you by almost $30B value of project, your SGR only costed you $4.7B[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

By the way, your SGR was supposed to go to Malaba, is Naivasha synonymous to Malaba?, We hy do you say you have completed your SGR?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani tumewapiga for 60 years straight na hatuongei halafu mnatupiga mwaka mmoja hamwezi lala? Hata darasani yule mwanafunzi hodari kuna wakati mmoja hushindwa? Ngoja za 2021 zitokee tuone kama bado mtakua mbele.🀣😎
 
Kitu kimoja lazima ufahamu ni kwamba, sio watu wote ni wajinga Kama ulivyo wewe, punguza ujinga na uanze kujifunza Mambo mapya.

It is only a stupid person can report projects of the country which is not under construction, when this report was released, Magufuli already announced to cancel Bagamoyo port project almost two years prior to this report.
 
Ngoja tukuwekee baadhi tu ya project zetu.
1)Electric SGR $14B
2)Julius Nyerere Hudroelectricity $4B
3)Kununua midege $1.2B
4)Daraja la Busisi Kigongo $400M
5)Daraja la Tanzanite $390M
6)Kimara Kibaha high way $200M
7)Ujenzi wa Meli Ziwa Victoria $160M
8)Uwanja wa Ndege Dodoma $250M
9)Mradi wa Maji toka L. Victoria $700M
10)BRT (2&3 phases) $400M

These are just few among many.
Taja mradi mmoja tu wenye zaidi ya $700M unaojengwa na GoK[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watanzania wenzangu naomba tuelekeze macho na masikio yetu huku kwenye huu ushubwada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

View attachment 2044665View attachment 2044666
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni wapuuzi sana wakenya,naona ngoma imeenda kutokomea kulee na kisingle lane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…