KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Aerial view vs horizon [emoji23][emoji23]Tofauti ni kubwa., tazama pale chini upande wa kenya, nafuu sana, linganisha, a closer view, mmejipiga risasi kwa mguu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 2044001
outside CBD
View attachment 2044000
Yani hawa jamaa sazingine mi hushindwa, yaani jama anarusha mawe na nyumba yake yoote ni ya glass.., hajiangalii aeno vile ako hovyo zaidi 😂 😂 😂 😂 😂 .,Aerial view vs horizon [emoji23][emoji23]
Nyumba zingine kama hizi mbona ni za kizamani hivyo.., nyumba za muonekano wa kishamba sana 😂 😂 😂 😂
View attachment 2043505
View attachment 2043505
98% of Nairobi people can't afford that hospitalWa arusha wenye hawana hela ya kusafiri Nairobi
Mwarabu mwitu Ichoboy ako wapi aje aseme render? 😂 😂
Kwani nimekataa? 😂😂😂😂This is a very beautiful photo.....what's the much ado about it......it shows a part of Nairobi city from 33000 feet
Cheki vile kumepangika.😍😍Picha zote za kugeuzageuza ni summary ya kitu hiki hapa ..👇View attachment 2043936hako ni ka sehem kadogo sana
We nyumbu hizi ni concrete roads za zege 😂😂😂😂Eti hii ni Middle class suburbs kama kilimani, hakuna mpangilio na barabara hazina lami, ndio kwa maana ghorofa zinafwata main road. 🤣🤣🤣
Hifadhi bio tweet kwa niaba yangu tafadhali.🤣🤣Panataia aibu, kumbe mnajua, ni hapa tu hua mnakuja kujifanya vichwa ngumu. 🤣🤣🤣🤣
Mchanga ya pwani ndio unaita concrete. 🤣🤣🤣🤣 You think concrete roads are cheap, we ni fala.
Huyu mzungu alizuru Dar sana, aliishi kule na akapapenda, alipo fika Nairobi the first impression was: "Nairobi has a big city feel, not like Dar es salaam" yaani |Dar na huo ukubwa wote bado uko na muonekano wa mashambani ata kwa mgeni, naona huyu Sabbatical akinyimwa visa ya kuingia Tz 😂 😂 😂 😂 ., nime watch all the clips when he was in Tz and Kenya, funny thing, boda boda guy wa Kenya are way informed, ukiskiza the conversation kuna tofauti! wa Dar anakaa ndwazi tu, watu wa vijiweni, uninformed ndio maana they can be easily deceievd by their govt!, same na jamaa wa Uber he used in Nai ako sawa, exposure, wa Dar ni maziwa lala, yote ilikua random picks.. Tz iko down!! Uganda wako better, despite small economy the guys are quite informed in comparison na mitanzaniaEti hii ni Middle class suburbs kama kilimani, hakuna mpangilio na barabara hazina lami, ndio kwa maana ghorofa zinafwata main road. 🤣🤣🤣
Shida yenyu mnatoa statistics kwa makalio na kupost hapa[emoji23][emoji23], hio hospitali ata mathare imeishinda98% of Nairobi people can't afford that hospital
Wanajua ukweli, ni umasikini jeuri tu, kujitia hamnazo, yaani eti wazalendo 😂 😂 😂Panataia aibu, kumbe mnajua, ni hapa tu hua mnakuja kujifanya vichwa ngumu. 🤣🤣🤣🤣
Wewe ni takataka kweli mchanga unakuaga hivi?Mchanga ya pwani ndio unaita concrete. 🤣🤣🤣🤣 You think concrete roads are cheap, we ni fala.
Machozi hayasaidiiShida yenyu mnatoa statistics kwa makalio na kupost hapa[emoji23][emoji23], hio hospitali ata mathare imeishinda
Kila mtu kwa hii tweet anakubali ni pabaya only akina ichogal and choir [emoji23][emoji23], watu wa kijitonyama mko wapi?Panataia aibu, kumbe mnajua, ni hapa tu hua mnakuja kujifanya vichwa ngumu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]