Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wee bichi kidimbwi hebu sikiza hapa vijilima wewe........ maneno yako mengi ya kipuuzi usituambie....Baba levo ni mtu anajulikana saana tz na ni mtu ametembea sana dar...sehemu zote...na ilikuwa mara yake ya kwanza kuja nairobi.... amekiri kuwa yeye huwa mbishi kwel ..lakini hapa imempiga 10 nil....na amekubali kuwa ya klwamba kenya tuko mbeleee zaidi na itawachukua miaka 25... case closed wapi nyundo ya hakimu....booom
 
Baba levo ndio alipiga hii picture? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Baba levo ndio alipiga hii picture? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2043783
sasa hebu imagine ikiwa hali ndio kama hiyo...halafu mmoja wenu kasema itawachukua miaka ishirini na mitano dah...hivi basi mko nyuma kiasi gani....
wakati wote huo ...mabishano yalikuwa kati ta mtz na mtz ...haya hebu tuambie sasa ...wewe bichi kidimbwi....kijilima
 
Almost 40% of Tanzania in inhabited (reserved area)
Kwani hizo parks haziko traversed by motorized transport? Excuse za ufala. Unaongea nikama hizo parks zote ziko kwa corner moja ya nchi ambapo hakuna barabara or any human activity at all. 🀣🀣🀣 Au unadhani TZ nikama Canada or Alaska.
 
These guys are way behind, I find Ugandans to be far much better, even with exposure., hawa bana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
si nyie wa tz ndio mmejaa gikombaa mkiuza nguo kuu kuu...hata kwa hizo slums nyie tu ndio mna ishi huko huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…