Ni kama wanataka twende nao na huo mwendo wao wa kinyonga. Eti tujivute kama wao then we start looking for flimsy excuses why we ain't at par with the rest of the world.Nice, now it's our turn in developing countries with our bigger population of millennial and gen z to enjoy the soft life as we secure the bag. ππ So hufai kusema malls zimepitwa na wakati in developing countries ju zinaongezeka like wild fire.
Stop being desperate bongolalaushaanza kupanic sasa ππππ
niendelee au??ππππ
View attachment 2043368View attachment 2043369View attachment 2043370View attachment 2043371
Wewe utateseka had lini ukitajataja neno render kila siku mwishowe unaaibika? Kwa hivyo hata hiyo crane ya ujenzi huoni?asante kwa render π€£π€£π€£π€£
Wakunya tuliwaeleza JF Dar ipo represented kwa chini ya 35% Yaani bado kuna maeneo mengi sana ya Dar hayajawekwa humuNicxie hii ni kigamboni brother baadae usijesema sikukwambia π€£π€£π€£View attachment 2043379View attachment 2043380View attachment 2043381View attachment 2043382View attachment 2043385View attachment 2043386View attachment 2043387View attachment 2043389View attachment 2043390
If Tanzanians don't need malls then why do you have the few ones in the first place? Why invest in something that you don't need? Look mate, your statements are self-defeating.I know, I'm beating the dead horse here, but... whatever! I've said it before, majority of Tanzanians shop at "dukas" which are everywhere in their neighborhoods, they don't need to go to the malls. Are there few people who go to Mlimani city, sure, but that is a very small percentage of the population.
Jumia closed in Tz because they were trying to sell ice to the Eskimos, if you can't sell your product or service, don't blame the customer. That's marketing 101.
Because they are the one who came up with that shit.
... because Kenyans make a big deal out of it, all these other countries are playing it cool.
Zipo counties kibao hapo kati hazina lamiMombasa hadi Moyale ni Tarmack na hio distance ni more than 1000 km. Siku zote tunawaambia hampo ligi yetu.
Hey you lunatic , what exactly do we suppose to say about this one[emoji116]I pity this poor country of yours.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu zitaje na ulete evidenceZipo counties kibao hapo kati hazina lami
What exactly do you mean by saying poor [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] pathetic as your ,we feed you as holes...I pity this poor country of yours.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Endelea kuota mchana Mombasa - Nairobi - Moyale ni lami yote.Zipo counties kibao hapo kati hazina lami
Talking of high prices, what's the price of a 2kg maize flour in Tanzania?High salaries but also high prices and living expenses at the end of the day no savings but the Government has already taken its lion share of tax leaving workers penniless. The Government ndio imeona now kwamba this is not sustainable ndio inaanza kupunguza salaries.
Kigamboni haina hata mall moja, residential district ya kishamba sana hio.Wakunya tuliwaeleza JF Dar ipo represented kwa chini ya 35% Yaani bado kuna maeneo mengi sana ya Dar hayajawekwa humu
Pia kuna mmoja wetu akasema Nairobi inaipita Dar kwa photography tu, Dar bado haijawa well photographed mathalan Wakunya wengi wanashangaa kuona kumbe Kigamboni ni one largest district tofauti na walivyodhani.
Nairobi to Lodwar is 608 kmLeta longest distance all tarmack toka Nairobi above 500 km!
Ni Kama sisi pia tuseme from Dodoma juu Ni katikati ya nchi kama kanairo!!!Leta longest distance all tarmack toka Nairobi above 500 km!
Mombasa to Malaba yote ni lami.Leta longest distance all tarmack toka Nairobi above 500 km!
Nairobi ni katikati ya Kenya? ππππNi Kama sisi pia tuseme from Dodoma juu Ni katikati ya nchi kama kanairo!!!
Nairobi ikiwa katikati ya nchi to moyale it's 748km, lodwar 628, lamu 668,modogashe 528km etc
But roads zenye zinaconnect this major roads ndio za maana,
Plus za within town estates
#UfukaraMalls zilishapitwa na wakati, hayo ni mambo ya 1950's huko, kufika 2005, malls zilianza kufungwa kwenye nchi za watu.
Sio utamaduni wa watanzania kununua vyakula supermarket, hii ni kutokana na historia ya hizi supermaket. Zilipoanzishwa miaka ya 1990 -1992 (mfano Dallas Supermaket na Best Buy Supermarket), walikuwa wanauza baadhi vitu vilivyo expire.
Miaka hiyo (kipindi cha ruksa) Tanzania ilikuwa dampo la vyakula vya nje vilivyoharibika. Wafanyabiashara wasio waaminifu, waliingiza vinywaji kama bia za Stella Artois na watu walibwia kama hawana akili nzuri, kumbe zilikuwa zime expire. Baadae watu wakakosa imani na hizi supermarket.