Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani wewe hata viatu umeanza kuvaa 2010s, sijawahi kuona jitu poripori kame wewe, wewe utakua unatoka nandi
wewe ni Kiswahili tu utanifunza humu., uliji define; Tahira!, fikra zako ni za vijiweni tu🤣🤣😂😂😂
 
Nilikukataza kukurupuka sasa ona? yaani hauna uwelewa wa neno infrastructure![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], wewe tuambie basi kwa kauli yako infrastructure ni nini?
Mnatia mpk huruma wallahi, tuliwaambia cc ni taifa kubwa hapa EA mkabisha, leo mnaleta mambo ya kitoto kwenye vitu serious [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Slums Kenya is everywhere, mwanzoni nilikuwa najua Slums zipo tu Nairobi, kumbe zipo mpaka Ikulu, majolity ya Wakenya wakiwemo wa humu JF wanaishi kwenye slums kama wanabisha waweke nyumba zao wanazoishi alafu muone.
 
Kenya ni Mavi wazee, hawa wakunya wa humu ukweli wanaujua na wanatamani wangelikuwa Watz maana Kenya ni ya mama Ngina na ukoo wake plus politicians wachache na foreigners, hawa mbwa wa humu hawana ndoto hata ya kununua kiwanja.
 
Tunajenga modern electrified SGR, Hydro power plant, tunanunua EMU, tunanunua ndege modern kwa cash, tunatoa maji ziwa Victoria kupeleka kila pembe ya nchi, tunajenga meli kubwa, ndio tushindwe vi apartments, r u serious?
Modern electric sgr imejenga for 20years hehe
 
Mmmh bwana CoCo [emoji23][emoji23] hakuna picha ya eneo lolote ndani ya NAIROBI ambayo haijawahi kupostiwa humu, hizi me mwenyewe nnazo kwa gallery yangu
Leo nazunguka just one estate Nairobi nipige picha utaniambia umewai Ona wapi
 
Haya tuonyesheni electric cars and charging stations ndani ya Dar is a slum.









Ndinda eeh wacha ukorofi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16] kwaiyo hiyo ndio ile might nirobarry etu[emoji1369][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unafikiri Rova Ride hapa Dar wanapikia haya magari Mtori au Githeri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unavyoona yanakunywa Mtori haya?


 
Ngojeni 25 years.., mtaambiwa mara ngapi nyie.., sio tu mzungu, pia mwenzenu baba Levo., baba yenu Nyerere mwenyewe.., pia na Museveni kakiri., maneno yako ni yako tu., blind patriot😂😂😂😂
Naipori ipi,au hii ambayo Teargas anataka kuruka somersault kwenye maji ya kinyesi?
 

Attachments

  • f70c2fe52e2f4e958587ba33542c6c01.mp4
    5.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…