Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,805
- 41,709
Ajabu kweli .. Kigamboni zipo supermarkets hakuna malls nimehangaika kutafuta picha nimekosa but worry kesho ntapita huko na utapata picha za kuzidiAtuonyeshe mall kigamboni kwanza kabla tuendelee. Hatatutaki one sided battles hapa. 😂🤣
Kimara hakuna malls, kwanini unalazimisha Kimara au ndio mtaa unaojua DSM.?😂😂Kwani kimara sio suburb, au hujui maana ya suburb.
So unaenda usiku huu Kigamboni kujenga mall huko kisha ikifika kesho asubuhi utuletee picha ya mall ya Kigamboni uliyojenga usiku ama?Ajabu kweli .. Kigamboni zipo supermarkets hakuna malls nimehangaika kutafuta picha nimekosa but worry kesho ntapita huko na utapata picha za kuzidi
Acha kujifanya unaijua DSM we punguani .. supermarkets ar in every where hapa DSM .. na usichokijua ni kwamba malls kali karibu zote DSM hazipo Upanga, Posta, Kariakoo wala kwenye Rich neighborhoods ..Vizuri na malls na supermarkets lazima waende CBD au kwa wealthy suburbs. Dar ni jiji la kishamba sana walai. Just imagine mtu atoke Kite au Juja eti ameenda tao kushop au kuhangout kwa mall. 🤣🤣🤣🤣
Huko kwa malls toka kabisa. it's a total waste of time. Hata Kampala inawazidi kwa mall spaceWe ndio unaniacha hoi kabisa 😂😂 twende kazi
Unataka mall au supermarket..?So unaenda usiku huu Kigamboni kujenga mall huko kisha ikifika kesho asubuhi utuletee picha ya mall ya Kigamboni uliyojenga usiku ama?
Zipo Mbagala?Acha kujifanya unaijua DSM we punguani .. supermarkets ar in every where hapa DSM .. na usichokijua ni kwamba malls kali karibu zote DSM hazipo Upanga, Posta, Kariakoo wala kwenye Rich neighborhoods ..
Heb twende ground kijanaHuko kwa malls toka kabisa. it's a total waste of time. Hata Kampala inawazidi kwa mall space
What kind of a question is that na ushasema mall haipo Kigamboni?Unataka mall au supermarket..?
Kwa hivyo within 10km radius around CBD pekee ndio kuna malls. Dar ni jiji la kishamba kweli. 🤣🤣🤣🤣 Ni vizuri umekubali 90% of suburbs in Dar hazina malls. Kesho tunataka kuona hizo supermarkets za mitaa.Kimara hakuna malls, kwanini unalazimisha Kimara au ndio mtaa unaojua DSM.?😂😂
SUPERMARKETS ARE IN EVERYWHERE ndani ya DAR ES SALAAM, hakuna sehemu hakuna supermarket hapa DSMZipo Mbagala?
Sina muda wa kupoteza. Tumalizane kuhusu swala la middle-class kwanzaHeb twende ground kijana
Ziko industrial area. 🤣🤣😂Acha kujifanya unaijua DSM we punguani .. supermarkets ar in every where hapa DSM .. na usichokijua ni kwamba malls kali karibu zote DSM hazipo Upanga, Posta, Kariakoo wala kwenye Rich neighborhoods ..
Am talking about malls kijana. Supermarkets zinapatikana hadi vijijini huku KenyaSUPERMARKETS ARE IN EVERYWHERE ndani ya DAR ES SALAAM, hakuna sehemu hakuna supermarket hapa DSM
kwani mall ni nini?, na kazi ya mall ni nini?Hii dunia mzima ni Dar tu haina malls kwa suburbs na mnasema mkona strong middle class. [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Kwani wanashop na kuhangout kwa vibanda.
13 km from CBD 👇 Mlimani City MallKwa hivyo within 10km radius around CBD pekee ndio kuna malls. Dar ni jiji la kishamba kweli. 🤣🤣🤣🤣 Ni vizuri umekubali 90% of suburbs in Dar hazina malls. Kesho tunataka kuona hizo supermarkets za mitaa.
Kwahyo unataka kuniambia malls zipo kila mtaa hapo Nairobi.?Am talking about malls kijana. Supermarkets zinapatikana hadi vijijini huku Kenya
Hata uko zipo kijana wanguZiko industrial area. 🤣🤣😂
An indication of a growing middle-class population. And just in case you didn't know, it's also a source of employment, both directly and indirectlykwani mall ni nini?, na kazi ya mall ni nini?
Unataka kuona nyumba za middle class.? Venye zinakaa.?Sina muda wa kupoteza. Tumalizane kuhusu swala la middle-class kwanza