Aisee hamuwez fikia Tz hata tone kwa private owned houses, labda hizo kota mnazonunua from investors, nyumba zenu mbayaaaaa,, hata ukiangalia filam za kenya yan vijumba vibayaaa hebu tafuta bongo movies uone mijumba ya heshima

Usirudie tena kupost hizo takataka hapa, bora muendelee kurepost hizo uniform houses japo na zenyewe zina sura mbaya, kwenye swala la outer finishing mpo nyuma sana, rangi ni bidhaa hadm sana huko kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
safi tuwachane......hawaAisee hamuwez fikia Tz hata tone kwa private owned houses, labda hizo kota mnazonunua from investors, nyumba zenu mbayaaaaa,, hata ukiangalia filam za kenya yan vijumba vibayaaa hebu tafuta bongo movies uone mijumba ya heshima
Usirudie tena kupost hizo takataka hapa, bora muendelee kurepost hizo uniform houses japo na zenyewe zina sura mbaya, kwenye swala la outer finishing mpo nyuma sana, rangi ni bidhaa hadm sana huko kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hamuwez fikia Tz hata tone kwa private owned houses, labda hizo kota mnazonunua from investors, nyumba zenu mbayaaaaa,, hata ukiangalia filam za kenya yan vijumba vibayaaa hebu tafuta bongo movies uone mijumba ya heshima
Usirudie tena kupost hizo takataka hapa, bora muendelee kurepost hizo uniform houses japo na zenyewe zina sura mbaya, kwenye swala la outer finishing mpo nyuma sana, rangi ni bidhaa hadm sana huko kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
beautiful nature view of nyasa district.
toa uchafu. .....classy houses for normal nairobians.....wanajifanya tu juu tumewapiga bao Mia moja kwa housing and infrastructure
With world class standard of a mature developed city
Sent using Jamii Forums mobile app
picha nyingi wamiliki wameshindwa afford Ku piga rangi in that case cement na rangi ni ghali sana Kenya maana nyumba zote mnazo posti hazijapigwa plasta ya cement zinonekana uchafu. .....classy houses for normal nairobians.....wanajifanya tu juu tumewapiga bao Mia moja kwa housing and infrastructure
With world class standard of a mature developed city
Sent using Jamii Forums mobile app
edward picha hizo tumezichoka ......hebu kuwa mbunifu
punguza hasira kijana masikini wa nchi ya watu wa njaa.umebakia kupost tu milima na mabonde. ...poor you.Infrastructure na housing nayo mmekosa mapicha sasa ni visingizio za kijinga na povu tu.......we beat you in everything ukubali ukatae
vijana wengi wa nairobi kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira,wamepanga bedsitter room katika yale maeneo ya duni ya nairobi.
kwa wale wasioelewa kuhusu bedsitter,ni kajichumba flani hivi kadogo ambapo jiko na choo hupatikani eneo moja.
kutokana mazingira ya bedsitter room,
harufu ya kinyesi toka chooni mara nyingi huenea mpaka jikoni.
msishangae kwanini vijana wa kikenya wana kuwa na ujinga ujinga kichwani,ni kwasababu mda mwingi wanavuta harufu ya kinyesi inayotakana na mazingira ya bedsitter wanayoishi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
milima,mito na maziwa ni moja ya vivutio vya asili vya LDC,huko kwenu moja ya kivutio ni jangwa na ukame lakini mnaona aibu kupost picha za jangwa na ukame.umebakia kupost tu milima na mabonde. ...poor you.Infrastructure na housing nayo mmekosa mapicha sasa ni visingizio za kijinga na povu tu.......we beat you in everything ukubali ukatae
niliwaambia watu wa nchi ya njaa kuwa mashamba ya chai ya kericho ambayo yanamilikiwa na mafisadi wa kenya baada ya kupora ardhi ya wakenya wanyonge na masikini, hayawezi kuizidi tanzania kwa mvuto wa kiasili.
tanzania ni kubwa sana,pia ina maeneo mengi yenye rutuba yanayopokea mvua za kutosha zinazoruhusu ustawi wa uoto wa asili ilhali eneo kubwa la kenya ni jangwa/kame
beautiful nature view of machame plus an amazing view of mount kilimanjaro.