Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

UK wanatumia left hand vilee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leta link kua kanunua usa ni kuwashe mbona unageusa mada 🀣🀣🀣🀣🀣

tatizo lenu munajitia ujuaji wa kila kitu na hamuna kitu munajia
 
Tuonyeshe ndege zenu za civilian mzee, km tayari wasaani wenu wanakuja kukodi kenya... hyo inakaaje mzee
mada ya rolls royce imekutokea takoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwamba ww ndio ulioagiza hio gari
 
leta link kua kanunua usa ni kuwashe mbona unageusa mada [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

tatizo lenu munajitia ujuaji wa kila kitu na hamuna kitu munajia
Enheee!!uingereza hakuna tolea la right hand mzee, hzo zinakwenda kulingana na order sana sana nchi ambazo wanatumia right hand drive ndio zinapelekwa hko..

Domo kanunua second hand[emoji1787][emoji1787]
 
Uk( uingereza) RR home mzee ni left hand drive..mbona jamaa aende kuchukua right hand drive marekani[emoji1787][emoji1787]
kwani ww ukiagiza gari siunaagiza kulingana na matakwa yako wewe au??πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ au nchi zinazo tumia right hawanunui uk hvi ww ni mshamba wa wapi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
mada ya rolls royce imekutokea takoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba ww ndio ulioagiza hio gari
Hehehe!!uingereza hawauzi RR right hand drive mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole sana
 
RR second hand[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu wewe huna ubavu wa kununua gari toyota kenya..
Unafikiria toyota kenya wanauza mikweche iliyotumika nje
Umesjikia ulivyo chizi gari ni ya 2021 halaf eti unapiga kelele ni second hand,ilitumika mwaka gani.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ u must be crazy.. halafu unasema kwamba watz "hawawezi nunua toyota za kenya" πŸ˜‚πŸ˜‚ toyota za kenya.? Kwani hapo kenya kuna kiwanda cha toyota.? Au unajisahaulisha kwamba meli ya magari inatoka mojola kwa moja from Japan to Tanzania.?
 
Enheee!!uingereza hakuna tolea la right hand mzee, hzo zinakwenda kulingana na order sana sana nchi ambazo wanatumia right hand drive ndio zinapelekwa hko..

Domo kanunua second hand[emoji1787][emoji1787]
so nchi zinazotumia right haziagizi uingereza leo acheni tu nicheke wallah πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ munatia huruma aloooo
 
kwani ww ukiagiza gari siunaagiza kulingana na matakwa yako wewe au??[emoji2][emoji2][emoji2] au nchi zinazo tumia right hawanunui uk hvi ww ni mshamba wa wapi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hehehe!!eti matakwa[emoji1787][emoji1787]
Jamaa kaenda kununua vyuma vya wenyewe marekani akawa hana budi kukubali right hand drive manake ni second hand...
Zote tatu kisha
 
Point of correction, toyota kenya wala sio toyota za kenya..
Kuwa makini mzee utaumbuka, kule hakuna vitu second..
Hata mondi mwnywe mi V8 yake pia ni second hand[emoji1787][emoji1787]
 
kwani ww ukiagiza gari siunaagiza kulingana na matakwa yako wewe au??πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ au nchi zinazo tumia right hawanunui uk hvi ww ni mshamba wa wapi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Huyo ni mpuuzi mmoja wa msambweni mombosani hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wazee wa "maa chapati innishindaaa"
 
Huyo ni mpuuzi mmoja wa msambweni mombosani hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wazee wa "maa chapati innishindaaa"
aloo hawa jamaa wanatia huruma yani wanaumia mpaka kiasi hawawezi kustahmili πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…