Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu kuna wapuuzi humuhumu wanajipiga kifua eti Tz ni nchi ya City moja.. 😂😂 swali la kujiuliza kama hii Kisumu ni City, Arusha iwe nini.?
😂😂😂😂 kisumu ni uozo wa bata yani huo mji hakuna anaeza nidanganya mm hapa
 
na hii iko zanzibar mamaee😂😂😂 utahara bure nakwambia





na hapa kajibiwa ziko kama 6 arusha just imagine sasa😀😀😀😀
 
ushasema ziko tano sasa nimeomba takwimu za manunuzi ww ndio umeagiza 🤣🤣🤣

kwann ukose usingizi
Manunuzi kwani huwa mnanunua vitu? Nashuku hata hizo tano most of them ni donations.
 
na hii iko zanzibar mamaee[emoji23][emoji23][emoji23] utahara bure nakwambia





na hapa kajibiwa ziko kama 6 arusha just imagine sasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mbona zipo tu za kumwaga, tatizo wanaonua wanapigwa, facelift ndio inawazuzua watu wasiojielewa
 
Kununua gari toyota direct sio rahisi mzee
 
🤣🤣🤣🤣🤣povuu tayari nimekuuliza swali dogo tu manunuzi ya ndege ni kiasi gani??

mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serekali anaekosa usingizi juu ya 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Siezikosa usingizi juu ya nchi maskini kama Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…