The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Tony huwezi kumfananisha na hawa viazi wa kikenya wa humu wenye mentality ya kitumwa kwamba kuongea broken ndiyo umesoma na una maisha mazuri, Tony msomi na anayejitambua, huwa anasimamia anachokiamini co hawa ******* wa kibera ambao wanaoneana haya kuambiana ukweli.Alafu bro Tonny ni mtu mstaarabu na mkweli, yeye hawez lazimisha uongo kabisa,na hata akisema kitu ambacho hakipo sawa na tukamuumbua huwa anaelewa na kukubali pia.. huu utabiri wake kuhusu BRT ulikua ni utabiri wa kweli ona now tunakaribia kumaliza phase 2 na 3&4 phases zitaanza soon mana juzi mama alisema tayari pesa tunayo, nimeona hata moja kati ya vituo vya BRT phase Three ujenzi wake umeshaanza pale kwenye kituo cha treni za umeme posta
Unamkumbuka yule mwamba alisema anafanya kazi airport sujui alisema anasafir na business class.! sikumbuki vizur.😂😂😂 Halafu Venus alimuumbua humu kumbe mwamba alikua amepiga picha na kitu cha ndege mbovu .. heb nikumbushe kama unamkumbuka vizurWakunya bhn broken English nyiingiiii ukimwambia unamiliki nn anaanza kuunya unya, ooohh siwezi kuonesha maisha yangu humu mara ooohh sina akili za kitoto kumbe fukara, tangu lini mkenya awe na kitu alafu wewe usijue.
Wengi wao humu walipojaribu kuweka maisha yao humu ilikuwa ni vituko, mmoja alijifanya yeye ni mfanyakazi wa serikali tulipomuomba ushahidi akaweka apartment anayoishi, kuiangalia vzr kumbe ni pipeline apartment [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwengine kaweka ghorofa aki claim ni lake kumbe mlinzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwengine ndo akaua kabisa, kaweka mipesa kumbe kaitoa mtandaoni, alafu kingereza kwa mbali "I post my real life because you requested for it, next time if you want me to show you my private life I won't show you even my nails" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana bro usifanye ivyo ni silaha tu alizitumia the Best ili kuweka sawa mambo flani wala haikua kwa Nia mbaya. Msameh kwa leo hatorudia tenaThe best 007 nimekublock. Sijui ulikuwa unawaza nini ulipoamua kupost hizo messages. Ndio nilikuwa na ugomvi na Coco reborn na yosef festo. Yaani hawakuwa wanataka nipongeze Tanzania kwa lolote. Halafu nyie pia huwa mnawakashifu Watanzania wenzenu kama akina Walker255 na Geza Ulole wanapoongea ukweli. Kitu kimoja nimerealize na JF ni ati it is a very low quality forum with no room for critical thinking. Ni kwamba karibu kila mtu huku ni kama mbuzi au kondoo, hamruhusiwi kukashifu wala kuanalyze chochote kwa undani na kusema ukweli. Mnafwatana tu kama kondoo. Kwanza hii thread ya Dar vs Nai is very toxic. Ndio maana nilitoka huku. Mtanzania hastahili kusifu Kenya na Mkenya hastahili kusifu Tanzania. Nyinyi wote ni wajinga tu. Anyway The best 007 ulikuwa rafiki yangu kwa muda mrefu lakini naona umeshindwa kujicontrol kabisa na unataka kunigonganisha na Wakenya japo mimi sitaki ugomvi, mimi hata niliondoka humu kwa sababu ya utoto wenu. A bunch of kids in this forum. Urafiki pia huwa ina kikomo. Nilipiga babayao255 block almost one year ago. Wewe ndio mtu wa pili unakula block. Niliwacha kuwa critical thinker, siku hizi mimi sitaki kugombana na watu, lakini unataka kunirudisha siku za zamani.
View attachment 2037603
So wewe ulianika life yako humu for people to see ama? I believe there is a reason y watu wanatumia avatar n fake names here, you cant judge someone hujui, mimi ata kama naingilianga watz you would be surprised they are my closest business partners and friends. You take too personally issues, its never that serious.Wakunya bhn broken English nyiingiiii ukimwambia unamiliki nn anaanza kuunya unya, ooohh siwezi kuonesha maisha yangu humu mara ooohh sina akili za kitoto kumbe fukara, tangu lini mkenya awe na kitu alafu wewe usijue.
Wengi wao humu walipojaribu kuweka maisha yao humu ilikuwa ni vituko, mmoja alijifanya yeye ni mfanyakazi wa serikali tulipomuomba ushahidi akaweka apartment anayoishi, kuiangalia vzr kumbe ni pipeline apartment [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwengine kaweka ghorofa aki claim ni lake kumbe mlinzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwengine ndo akaua kabisa, kaweka mipesa kumbe kaitoa mtandaoni, alafu kingereza kwa mbali "I post my real life because you requested for it, next time if you want me to show you my private life I won't show you even my nails" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemsahau jina, yupo kule jukwaa la picha za warembo wakali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unamkumbuka yule mwamba alisema anafanya kazi airport sujui alisema anasafir na business class.! sikumbuki vizur.[emoji23][emoji23][emoji23] Halafu Venus alimuumbua humu kumbe mwamba alikua amepiga picha na kitu cha ndege mbovu .. heb nikumbushe kama unamkumbuka vizur
Wewe mgeni humu uliza wakunya wenzako.So wewe ulianika life yako humu for people to see ama?
Wao wamemtumia baba levo kutucheka na cc tumetumia wakenya wa humu humu nn mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapana bro usifanye ivyo ni silaha tu alizitumia the Best ili kuweka sawa mambo flani wala haikua kwa Nia mbaya. Msameh kwa leo hatorudia tena
😂😂😂😂😂Wao wamemtumia baba levo kutucheka na cc tumetumia wakenya wa humu humu nn mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ive been here for a while now, nikona miaka kadhaa
Mbn unauliza maswali ya std 1 ss?Ive been here for a while now, nikona miaka kadhaa
Tony254 punguza jazba basi,Jamaa alikua anawalenga wale ambao Wanaishi maisha ya kuigiza humu ndani kama kakutenesha kidonda msamehe 😃😃😃The best 007 nimekublock. Sijui ulikuwa unawaza nini ulipoamua kupost hizo messages. Ndio nilikuwa na ugomvi na Coco reborn na yosef festo. Yaani hawakuwa wanataka nipongeze Tanzania kwa lolote. Halafu nyie pia huwa mnawakashifu Watanzania wenzenu kama akina Walker255 na Geza Ulole wanapoongea ukweli. Kitu kimoja nimerealize na JF ni ati it is a very low quality forum with no room for critical thinking. Ni kwamba karibu kila mtu huku ni kama mbuzi au kondoo, hamruhusiwi kukashifu wala kuanalyze chochote kwa undani na kusema ukweli. Mnafwatana tu kama kondoo. Kwanza hii thread ya Dar vs Nai is very toxic. Ndio maana nilitoka huku. Mtanzania hastahili kusifu Kenya na Mkenya hastahili kusifu Tanzania. Nyinyi wote ni wajinga tu. Anyway The best 007 ulikuwa rafiki yangu kwa muda mrefu lakini naona umeshindwa kujicontrol kabisa na unataka kunigonganisha na Wakenya japo mimi sitaki ugomvi, mimi hata niliondoka humu kwa sababu ya utoto wenu. A bunch of kids in this forum. Urafiki pia huwa ina kikomo. Nilipiga babayao255 block almost one year ago. Wewe ndio mtu wa pili unakula block. Niliwacha kuwa critical thinker, siku hizi mimi sitaki kugombana na watu, lakini unataka kunirudisha siku za zamani.
View attachment 2037603
Mimi nilishaongea mara nyingi tu kuhusu ukichaa uliopo kwenye hii thread. Critical thinking hakuna kabisa humu. Ukisema ukweli unaowaumiza wanakuchukia. Ukisema kitu ambacho hawataki watu wajue, wanakasirika. Kiufupi ukiwa na mawazo tofauti na ya kwao, wewe ni adui au msaliti. Lakini kumbe lengo lako ni kuleta mabadiliko kwa fikra mbadala. Jukwaa kamą hili lingekuwa Zuri sana kama lingetumika kutoa constructive criticism kwenye mambo mbalimbali. Miaka ndenda rudi battles ni zile zile. Kama sio slums ni skyscrapers au malls au barabara. Hamchoki? Mko shallow kiasi hiki? Badilikeni!The best 007 nimekublock. Sijui ulikuwa unawaza nini ulipoamua kupost hizo messages. Ndio nilikuwa na ugomvi na Coco reborn na yosef festo. Yaani hawakuwa wanataka nipongeze Tanzania kwa lolote. Halafu nyie pia huwa mnawakashifu Watanzania wenzenu kama akina Walker255 na Geza Ulole wanapoongea ukweli. Kitu kimoja nimerealize na JF ni ati it is a very low quality forum with no room for critical thinking. Ni kwamba karibu kila mtu huku ni kama mbuzi au kondoo, hamruhusiwi kukashifu wala kuanalyze chochote kwa undani na kusema ukweli. Mnafwatana tu kama kondoo. Kwanza hii thread ya Dar vs Nai is very toxic. Ndio maana nilitoka huku. Mtanzania hastahili kusifu Kenya na Mkenya hastahili kusifu Tanzania. Nyinyi wote ni wajinga tu. Anyway The best 007 ulikuwa rafiki yangu kwa muda mrefu lakini naona umeshindwa kujicontrol kabisa na unataka kunigonganisha na Wakenya japo mimi sitaki ugomvi, mimi hata niliondoka humu kwa sababu ya utoto wenu. A bunch of kids in this forum. Urafiki pia huwa ina kikomo. Nilipiga babayao255 block almost one year ago. Wewe ndio mtu wa pili unakula block. Niliwacha kuwa critical thinker, siku hizi mimi sitaki kugombana na watu, lakini unataka kunirudisha siku za zamani.
View attachment 2037603
5 mbali hivyo eeeehhh kwa [emoji481][emoji481] mjomba hana mpinzani wazee tuwe wakweli,,, hapo apewe heshma yake tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila ktk orodha ya 5 bora ya wapiga mtungi nahisi jirani atachukua.
Hii list Zambia hamna mmmhhh
What a view [emoji7][emoji7][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]Tanzanite [emoji1241].
View attachment 2037687