South africa km ndio sehemu ya kutafuta maisha heri nibaki kenya, sauzi kuna maajabu gani haswa..yani niachane na watu km akina UK, GERMANY na CANADA ndio niende sauzi[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Maskini wa tz wanakimbiliaga SA kutafuta maisha, hata maskini wa Morocco hukimbiliaga Spain kufata maisha mazuri, sasa ukiona unabezwa na maskini kwamba aje kufuata nini nchini mwako jua wewe huna maajabu/jambo la maana.. punguani wewe .. huwa unatumiaga asilimia ngapi ya Ubongo wako kuelewa mambo.? [emoji23][emoji23][emoji23] ..
Hela ya ndani si ilipie basi ndio mtokani na huo upuuzi wa serekali kuchukua toll feeUnawajua waliotoa fedha Ili kujengwa kwa hilo daraja.?
Kwani wageni wanaoenda Kenya wanatoka TZ pekee?Ngoja leo niwaonyesha hawa wa kenya namna tunavyowachukulia, hii ni baada ya leo serikali ya kenya kutangaza mtu yoyote ambae hajapata chanjo hatoruhisiwa kuingia nchini humo.. bandiko . Check out tz replies za wabongo 😂😂👇View attachment 2035318View attachment 2035319View attachment 2035320
Soma tena nilichokiandika .. kama ni shule umeshafeli kwa kukurupuka kujibu kabla hujaelewa mada..😂😂😂Kwani wageni wanaoenda Kenya wanatoka TZ pekee?
Huo mradi ulijengwa na financial institution ya Bongo, kwahyo hapo kinachofanyika ni kama kurudisha pesa ya uwekezaji ili iende tena kuwahudumia wananchi. Sisi ni tofauti na nyinyi wazeeHela ya ndani si ilipie basi ndio mtokani na huo upuuzi wa serekali kuchukua toll fee
Lkn usijali, nyie kw donation hamjambo sio kitambo mtapaewa donation mfute toll fee
Hiyo post yako ni kuwakomoa wakenya kuwa watanzania wanawachukulia “hovyo” Sio? Kwamba hakuna lolote la muhimu la kufanya Kenya? Lakini huo ni upuuzi. Kuna watanzania wenye ndugu Kenya, kuna watanzania wenye biashara Kenya, na wapo watanzania wanaoenda Kenya kupata fursa.Soma tena nilichokiandika .. kama ni shule umeshafeli kwa kukurupuka kujibu kabla hujaelewa mada..😂😂😂
Hizo ndio akili za watoto wa mombasa wazee wa "Maaa chapati inshindaaa" "Maaa matie pesa ya Maaamrii" 😂😂😂.. waafrika wengi mno wanakimbilia kutafuta maisha SA .. au umesahau xenophobic violence in SA ...? Unajua ni watu kutoka mataifa gani ndio walipigwa na wengine kuuwawa.? Unajua ni kwanini walipigwa na baadhi yao kuuliwa na indigenous people of SA.?South africa km ndio sehemu ya kutafuta maisha heri nibaki kenya, sauzi kuna maajabu gani haswa..yani niachane na watu km akina UK, GERMANY na CANADA ndio niende sauzi[emoji1787][emoji1787]
Wao wenywe kule wanajifea, yani mbongo akitoka sauzi anachukua mpka wake za watu
Nmekupata mzeeVituo hivi vimejengwa na Wanaojenga Reli ya Mwanza Isaka sasa hivi Boss ambao pia wamejenga Ubungo .Sinohydro wanajenga Barabara ya Mwendokasi.
View attachment 2034954
Sinohydro wazee wa longolongo!Vituo hivi vimejengwa na Wanaojenga Reli ya Mwanza Isaka sasa hivi Boss ambao pia wamejenga Ubungo .Sinohydro wanajenga Barabara ya Mwendokasi.
View attachment 2034954
Kweli wakunya hamna akili 🤣🤣🤣🤣🤣Sasa maskini kama wewe ukuje kenya kufanya nini kama si omba omba, hii shida wachia matajiri bana
Muulize mtoto wa mama ngina kafata nini south Africa kama hakuna kitu🙂South africa km ndio sehemu ya kutafuta maisha heri nibaki kenya, sauzi kuna maajabu gani haswa..yani niachane na watu km akina UK, GERMANY na CANADA ndio niende sauzi[emoji1787][emoji1787]
Wao wenywe kule wanajifea, yani mbongo akitoka sauzi anachukua mpka wake za watu
Ulifikia hotel gani?Mimi najua vitu kwa ground, juzi tu nimetoka hapo uluguru mlimani
Huyu ni wa Matombo guest house!Ulifikia hotel gani?
Hawa watu ni was kushangaza.🤣🤣Hahaha!!yani hapo anapaona pakali unyama
Amtafute Masanja Kadogosa atamfundisha kurevamp railway systemMuulize mtoto wa mama ngina kafata nini south Africa kama hakuna kitu🙂View attachment 2035414
Si bora usingizi, na si bureHuyu ni wa Matombo guest house!
unawashwa na wakenya kulipia toll unasahau huko kwenu dalala inalipa tsh5000/ksh244 ili kuvuka daraja??
View attachment 2035278