Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tutaipiku Kenya [emoji23] [emoji23]
Tuipiku mara ngp, now viongozi wenu wanakuja kuchukua maarifa Tz, Wakenya wameanza kufurika Muhimbili for treatment, unataka nini cha zaidi, km umeme tutawauzia na electrical appliances mtakuja kununua huku japo mlishaanza ku import transformers from Tz, cc tulianza nyinyi mkafuata now tumerudi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtupiku kwenye GDP
Mtupiku kwenye Human Development Index
Mtupiku kwenye middle-class population
Mtupiku kwenye manufacturing sector
Mtupiku kwenye number of poor population
Mtupiku kwenye mambo muhimu Kijana

Mambo ya sijui eti mnatuuzia transformers ni mambo ya kawaida sana coz that's bilateral trade, just the same way sisi pia tunawauzia.
 
yaah ,hizo station ni kubwa jinga,

ni sawa sawa na kipindi cha nyuma unakutana na tablet hilo ila ukichek uwezo wake internal ni 2GB,

au enzi hizo wakati computer inavumbuliwa
Kujifariji rukhsa
 
Kaa kimya, haya yote uliyoyataja hayawezi kupatikana kama una njaa, ma slums, life insecurity, poor infrastructures, dirty cities, diseases, corruption, lack of jobs, thefts, tribalism and any kind of evils which hindering the growth of your country.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…