Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
A average train is longer than pugu station from end to end, considering each wagon has a door it means some will alight/aboard wakiwa outside the premisesHow long does it take to alight/board a train?! Few minutes if not seconds.
In case of WAITING for the train, they will do so in WAITING LOUNGE.
LOL. Do you know the length of the platform?!A average train is longer than pugu station from end to end, considering each wagon has a door it means some will alight/aboard wakiwa outside the premises
2023 DOM Gov City itakua na view hii 👇.
Umesoma mpaka darasa la ngapi.? Unachoongea hapa ndicho nilichomjibu mwenzako, boarding platform is not necessary kuwa ndefu kulingana na urefu wa treni, kwasababu hiyo ni sehemu ya kupandia treni tu na sio kwamba watu wanakaa hapo kupanga mstari mnyoofu, hata treni iwe ndefu kuzidi hiyo platform bado haithiri chochote .. ndio mana nikakuuliza umeshawahi kupanda treni au unajionea kwa picha na video tu.?Buda hujanielewa kabisa, boarding platform ya pugu station ni ndogo sana, swali ni je kuna uwezekano mkapandia treni nje juu train ya kawaida inashinda urefu wa pugu.
😂😂😂 Wewe ni tahiraA average train is longer than pugu station from end to end, considering each wagon has a door it means some will alight/aboard wakiwa outside the premises
Sema mtapanga mstari mmoja🤣🤣🤣Umesoma mpaka darasa la ngapi.? Unachoongea hapa ndicho nilichomjibu mwenzako, boarding platform is not necessary kuwa ndefu kulingana na urefu wa treni, kwasababu hiyo ni sehemu ya kupandia treni tu na sio kwamba watu wanakaa hapo kupanga mstari mnyoofu, hata treni iwe ndefu kuzidi hiyo platform bado haithiri chochote .. ndio mana nikakuuliza umeshawahi kupanda treni au unajionea kwa picha na video tu.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji382][emoji382]Pamoja na baba levo ausio[emoji16] View attachment 2034277
[emoji23][emoji23][emoji23] Zanzibar inakaa magofu. Nikama jela flani.Zanzibar mchana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2034285
Hiyo ni old CBD.. Dom Gov city inajengwa hapa 👇 KMs away from CBD . Majengo yanayojengwa hapo ni haya, majengo ya wizara 24 yenye gorofa kati ya sita hadi kumi na mbili, 👇Hivi watabomoa huu uchafu wajenge upya ama?🤣🤣
😂😂😂😂😂 Wewe sio mzimaSema mtapanga mstari mmoja🤣🤣🤣
Majengo yanayo poromoka Kenya pekee na siyo Tanzania ni kielelzo tosha kujua nchi gani ina watu werevu.Hivi kwenye masomo ya sayansi na hesabu. Ni watu wagani werevu kati ya Kenya na Tanzania? Hususan kwenye level ya research? Mimi ninajua jibu ila nataka tu kusikia maoni yenu..
Unatafuta kwa kutokea after upuzi kujua tumewacha na mbali[emoji1787][emoji1787] number 119 kwa maths na sciencesWakenya washamba, hawajawahi kuona hii technology, KENPAULITE umeona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio mana nikasema kwamba 2023 tukimaliza mradi huo, naiona DOM like this 👇Hiyo ni old CBD.. Dom Gov city inajengwa hapa 👇 KMs away from CBD . Majengo yanayojengwa hapo ni haya, majengo ya wizara 24 yenye gorofa kati ya sita hadi kumi na mbili, 👇. Na juzi waziri mkuu alizundua ujenzi wa majengo hayo 👇 . Na mkataba ni kumaliza ujenzi ifikapo 2023, I hope sote tutakua hai then nikunyooshee.. cheka tena
Muulize Emali station ina urefu wa kutosha mitungi yao ya chang'aa? Wakenya hawana akili mkuu.Umesoma mpaka darasa la ngapi.? Unachoongea hapa ndicho nilichomjibu mwenzako, boarding platform is not necessary kuwa ndefu kulingana na urefu wa treni, kwasababu hiyo ni sehemu ya kupandia treni tu na sio kwamba watu wanakaa hapo kupanga mstari mnyoofu, hata treni iwe ndefu kuzidi hiyo platform bado haithiri chochote .. ndio mana nikakuuliza umeshawahi kupanda treni au unajionea kwa picha na video tu.?
Kwamba majengo kila siku yanaporomoka yale yaliyojengwa na engineers wa kikenya na bado mnataka kushindana, idadi ya engineers tumewaacha mbali na bado mnataka kushindana, kubali tu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unatafuta kwa kutokea after upuzi kujua tumewacha na mbali[emoji1787][emoji1787] number 119 kwa maths na sciences