The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Ntampekelea baba levo akalie wasafi tv🤣🤣🤣😭😭🤣Pole kwa maumivu, peleka twitter hyo post mkalie pamoja na wakunya wenzako ili upunguze maumivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tell me Mr. Google🤣🤣🤣
Read to understand bongolala, not to react. Umeme wetu ni mdogo in comparison to demand. In reality, Kenya produces more energy than Tanganyika and Zanzibar combinedWakuu amekubali kwamba umeme wao ni mdogo, twende nao taratibu wameanza kukubali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cc Teargas Coco reborn Tony254
Sent using Jamii Forums mobile app
Napotumia kiswahili nitachomekea maneno nayotaka, jirani zetu mlivozidi ulimbukeni kwenye comment nzima umeona maneno ya kiingereza tuDiesel sgr station🤡🤡🤡
Sasa ndo umekasirika 🤣🤣🤣🤣Baba levo amekuwa star sn Kenya eeh, hicho ndicho alichotakiwa kufanya kwamba mjinga msifie, hii kitu huwa anakosea sana Diamond ndio maana hamumpendi mana hana time na Kenya kama haijui vile, zaidi ya kuwato..mb..a dada zenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunaposema SGR ipo U/C tunamaanisha hivi 👇phase 1 doneThe same way unalinganisha sgr yenu which is still under construction na yetu ambayo inafanya kazi. Are you listening to yourself bongolala?
What is the definition of universal healthcare?Does muhumbili offer free universal healthcare, the answer is no.🚮
There's so much going on about this project behind the scenes that even most Kenyans are not aware of. Are you aware of this?Sisi tunaposema SGR ipo U/C tunamaanisha hivi 👇phase 1 done. Phase 2👇 . Phase 5👇 . Inshort tupo vizuri, haya na wewe utuonyeshe hiyo BRT system yenye ipo under construction uko kwenu, uko kwenu mnajenga BRT au maigizo.? Tangu mlivyosema mtaanza kujenga BRT system hamjafanya kitu chochote kinacheleweka while sisi tumeanza phase 2 👇 na inaisha soonView attachment 2033515iko na jumla ya vituo vidogo vya kushushia abiria 27, stendi kubwa tatu, moja Kati ya hizo ni hii 👇 ya gerezani.. View attachment 2033517lakini kuna Ubungo na Mbagala done.. haya sasa na wewe utuonyeshe hiyo BRT system yenu yenye ipo U/C
Umetepeta mwanangu.There's so much going on about this project behind the scenes that even most Kenyans are not aware of. Are you aware of this?View attachment 2033536
Boss only three countries in Africa have something like that, stop confusing UHC na NHIF. The latter is very expensive than the former.What is the definition of universal healthcare?
According to WHO---
Universal health coverage means that all people have access to the health services they need, when and where they need them, without financial hardship. It includes the full range of essential health services, from health promotion to prevention, treatment, rehabilitation, and palliative care
According to your bighead you think this kind of services will be missing muhumbili and many other Tanzania hospitals?
Wakunya punguzeni dharau!
Aisee DAR kunogire😁😁😁😁😁Sisi tunaposema SGR ipo U/C tunamaanisha hivi 👇phase 1 done. Phase 2👇 . Phase 5👇 . Inshort tupo vizuri, haya na wewe utuonyeshe hiyo BRT system yenye ipo under construction uko kwenu, uko kwenu mnajenga BRT au maigizo.? Tangu mlivyosema mtaanza kujenga BRT system hamjafanya kitu chochote kinacheleweka while sisi tumeanza phase 2 👇 na inaisha soonView attachment 2033515iko na jumla ya vituo vidogo vya kushushia abiria 27, stendi kubwa tatu, moja Kati ya hizo ni hii 👇 ya gerezani.. View attachment 2033517lakini kuna Ubungo na Mbagala done.. haya sasa na wewe utuonyeshe hiyo BRT system yenu yenye ipo U/C
Unabwabwaja hapa. Unadhani Africa inafanana na kibera. Tembea uone mtoto wa mama Ngina.Boss only three countries in Africa have something like that, stop confusing UHC na NHIF. The latter is very expensive than the former.
I love the design
We have so much projects that are currently in progress like waste management centers and recycling plants in daresalaam and other cities across Tanzania and many more,in Tanzania media doesn't give so much coverage in such instead they focus on celebrities lifestyles,politics etcThere's so much going on about this project behind the scenes that even most Kenyans are not aware of. Are you aware of this?View attachment 2033536
Saws mko na umeme wa kutosha hii 👇nayo ni wapi.? BikiniRead to understand bongolala, not to react. Umeme wetu ni mdogo in comparison to demand. In reality, Kenya produces more energy than Tanganyika and Zanzibar combined
Kenya's KenGen says to add extra 1,745 MW to grid by 2025
State-run Kenya Electricity Generating Company (KenGen) plans to add 1,745 megawatts (MW) of electricity from geothermal sources by 2025, part of a government push to end power generation from fossil fuels.www.reuters.com
Kenya's current installed electricity capacity stands at 2,370 MW against a peak demand of 1,770 MW. This leaves us with a surplus of 600MW which isn't enough to run an electric rail
On the other hand, Tanzania's current installed capacity is 1,513 MW.
In short, demand yetu ya umeme inazidi kiwango kizima cha umeme mnayozalisha kama nchi. Yani stima yote mnayotengeneza hapo lazyland bado haitoshi mahitaji yetu ya kila siku kama nchi
Hasira hizi🤣🤣🤣 subiri miaka 25 iishe ndo urudi hapa. #babalevoUnabwabwaja hapa. Unadhani Africa inafanana na kibera. Tembea uone mtoto wa mama Ngina.
Kenya eti kuna mdari upo U/C haujulikani kwamba upo behind the scenes 😂😂😂.. kwahyo ili jengo ni station ya BRT.?There's so much going on about this project behind the scenes that even most Kenyans are not aware of. Are you aware of this?View attachment 2033536
Mtoto wa mama Ngina umekula kweli Leo.Hasira hizi🤣🤣🤣 subiri miaka 25 iishe ndo urudi hapa. #babalevo
You can yell all you want but you can't change this fact