Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa kama Masaki kwenyewe which is Dar's best neighborhood ndio kuna barabara za vumbi sasa uswahilini kwa walala hoi ndio lami ipatikane? [emoji23]
View attachment 2033400
Uswazi hii hapa, I have about thousand pictures of uswazi with tarmac Roads, if you request I will post for you, Magu was the real deal, enjoy[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu mradi mkubwa kuwahi kutokea Kenya ni Chinese SGR 😁
 
First, naomba tujadiliane kwa kiswahili coz you are having a problem with the queen's language so comprehension becomes a problem.

Mbona unakwepa swali langu? Nimekuambia unionyeshe electric sgr yenu inayofanya kazi.

Unapoongealea kuhusu JNIA kuwa modern kuliko JKIA unamaanisha nini? Je, kuna baadhi ya vifaa/facilities ambazo zipo JNIA hazipo JKIA ama point yako ni nini haswa?

Unataka nikuonyeshe brt wakati nimesema vizuri sana kwamba it's still under construction? Wewe pimbi au nini

You want to see the ship we built for you? Here it is bongolala Kenyan vessel building firm gets orders in Dar for three pilot boats

Huo mji wenu chakavu yenye vumbi is not worth talking about so excuse me
 
Mwenzako City anafikiri ni apartments kwenye kiplot fulani ndio maana nairobi wanaiaddress kama massive 😁
 
Imagine uingie Muthaiga upate barabara ya vumbi.🤣🤣
Kuna video fulani niliwatch YouTube about Masaki nikabaki tu nikicheka. That mzungu guy put a lot of emphasis focusing on ground level. I lost count on the number of unpaved roads I saw in that Masaki video. To be honest Masaki shouldn't even be compared to Lavington. Nitatafuta hiyo video nilete huku if I can
 
umeona uswazi hapo kuna dustbin kubwa limefungwa kwenye nguzo? kuna picha zao zile mjini wamerundika taka kila eneo 🤣
 
So budaa, unataka kupambanisha kibrt chenu amabcho hakijamalizika vs yetu amabayo inapiga kazi na kuongoza Africa + phase nyingine zinajengwa but hutaki kusikia SGR yenu vs TZ SGR kisa ya kwetu haijaanza kazi + inatumia umeme. Huo uoga wa kujificha nyuma ya mti ni kwa muda mfupi sana utakamatwa na kuchezea kichapo heavy
 
Ndio hii hapa. 🤣 🤣 🤣
Yani hata Langata, a middle class neighborhood imeishinda kwa mbali.

 
Kwamba hapa kuna hizo barabara? 😂 😂 😂 😂
 
Hehehehe you are a fool, u criticize my ability of using English by saying u got me no one way but still you answered my post which simply means you understood what I mean, this clearly show that you Kunyans are very brainwashed people and hopeless creatures believing that English is the only language under the sun.

For your information I understand more than two international languages because my work environment requires me to know many languages as I can.

Back to our point of discussion, you said your BRT is under construction, ok show me that progress [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

And you provided me with a link to show me that you built a ship for us, which ship? doesn't it have a name? Again if you give me a supportive evidence that you have ever built a ship for us am going to leave this thread believe me [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The same way unalinganisha sgr yenu which is still under construction na yetu ambayo inafanya kazi. Are you listening to yourself bongolala?
 
Stop hiding under your inability to converse in English to prove to the world ujinga wako. Unaniuliza Ni meli gani kwa hivyo hujasoma hiyo link ama kiingereza ndio kimekupiga chenga as always?
 
Stop hiding under your inability to converse in English to prove to the world ujinga wako. Unaniuliza Ni meli gani kwa hivyo hujasoma hiyo link ama kiingereza ndio kimekupiga chenga as always?
I repeat, the day you show me that you have ever built a ship for Tz it will be the day I kill myself mark my words.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hii hapa. 🤣 🤣 🤣
Yani hata Langata, a middle class neighborhood imeishinda kwa mbali.

You got it. Hiyo ndio Masaki, Dar's crème de la crème 😂 😂 😂. The best that Dar has to offer! Honestly, how do you even start comparing that with Karen, Muthaiga, Gigiri and the likes?
 
The same way unalinganisha sgr yenu which is still under construction na yetu ambayo inafanya kazi. Are you listening to yourself bongolala?

Let me breakdown for you Buda. Tunachoringanisha ni ubora na viwango, wakati SGR yetu itaanza kazi itakuwa ya umeme na treni za kisasa na huku yenu itakuwa ile mitungi ya chang’aa. Same applied to BRT, wakati yetu ni complete package system with dedicated lanes, yenu itaendelea kuwa ile ile ya kupaka ‘lipstick’ with narrow stations kama spagethi, so its just a matter of time tutakuwa na SGR ya kisasa na BRT System ambayo ni most effective huku nyie mkishika mkia kwenye hilo eneo. Umeleewa kijana wangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…