Kwani nimesema uongo? Si mliaambiwa anachapa kazi? Rais wa nchi anachapa kazi wiki mbili zote bila kuonekana hadharani wala wananchi kusikia kutoka kwake! π π ππππ Heb Acha kujitia ujinga ambao haukonao .. ni aibu jitu Zima kama wewe kujitia hamnazo
ππππIntelligence c tumekubaliana ni ndege iliyobeba mwili wa Magufuli na ilipitia chini ya ardhi kiasi kwamba hakuna mtu angeweza kuona, au naongopa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
ni noma mkuusongas wana gas processing plant, na gas inayoenda ubungo yote na baadhi kinyerezi inatoka songas.. pia ile plant ya pale ubungo(songas power plant ni mkataba wa maisha PPT... hauna mwisho.. hio plant serikali ina hisa hazizidi 45%).. kama sio huu mkataba hio plant ingefutwa na Magu kama zile IPTL nyingine
so wadau muelewe, pamoja na siasa nying.. Nyerere Hydropower plant ni muhimu sana kuliko hizo gas power plants.. kwenye hio JNHPP hakuna mkono wa mtu mwingine hapo.. ni serikali peke yake yupo.. imagine unauza umeme wote hapo peke yako.. jiulize faida gan kubwa serikali itapata
huwa naonaga mnabishana kuhusu hiv vitu.. na hamjui siasa zilizoko huko ndan
Mbn nyie mliongopewa na Uhuru mngejengewa electrified SGR but mkaletewa mitungi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani nimesema uongo? Si mliaambiwa anachapa kazi? Rais wa nchi anachapa kazi wiki mbili zote bila kuonekana hadharani wala wananchi kusikia kutoka kwake! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo link nilimpa yule kilaza wenu just to prove a point to him. Fuatilia thread uelewe kinachoendelea usiwe kilaza kama yeye nawe. We already have so many vilazas in the houseMzee kwani hapa tunamzungumzia Trump au Magufuli.? Vipi mbona unakuaja na Link ambazo zinatutoa nje mada.? Umechanganyikiwa.?
huo mkataba ni wa hovyo sana na ndiyo maana serikali huwa hawauzungumzii kabisaIkitokea nikapewa urais wa hii nchi angalau kwa masaa 24 tu nakuambia haki ya nani kuna watu nitatoa amri wapigwe chuma hadharani. [emoji23][emoji23][emoji23]
Haiwezekani uingie mikataba ya ovyo.
Kwamba link imesema Trump alienda Iraq kwa siri alafu Air force one likaonekana Airpot au sio hyo link mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo link nilimpa yule kilaza wenu just to prove a point to him. Fuatilia thread uelewe kinachoendelea usiwe kilaza kama yeye nawe. We already have so many vilazas in the house
Yaani mpaka mbeya wa mbeya mange alishidwa kupata evidence kutoka kwa ma snitch wake japo hata picha ya msafara usio kuwa wa kawaida pale amref underground secret airstrip ambayo sijui IPO wapi walisema?Intelligence c tumekubaliana ni ndege iliyobeba mwili wa Magufuli na ilipitia chini ya ardhi kiasi kwamba hakuna mtu angeweza kuona, au naongopa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kazi ya uraisi ni kazi inayofanywa kwenye mazingira gani.? Sio nyumbani kwake na ofisini.? .. kwahyo tukisema anachapa kazi ni lazima aonekane public.? Au kwa upande wako neno kuchapa kazi unalitafsiri vipi.? πππ ..Kwani nimesema uongo? Si mliaambiwa anachapa kazi? Rais wa nchi anachapa kazi wiki mbili zote bila kuonekana hadharani wala wananchi kusikia kutoka kwake! π π π
Give me any source where Uhuru promised Kenyans electric SgrMbn nyie mliongopewa na Uhuru mngejengewa electrified SGR but mkaletewa mitungi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo upi? Kwamba hii nayo ni uongo ama?
πππ Acha ujinga weweHiyo link nilimpa yule kilaza wenu just to prove a point to him. Fuatilia thread uelewe kinachoendelea usiwe kilaza kama yeye nawe. We already have so many vilazas in the house
So unaamini Magu alikuwa akichapa kazi ndani ya hizo wiki mbili! π π π Then he mysteriously dies π π π What a life!Kwani kazi ya uraisi ni kazi inayofanywa kwenye mazingira gani.? Sio nyumbani kwake na ofisini.? .. kwahyo tukisema anachapa kazi ni lazima aonekane public.? Au kwa upande wako neno kuchapa kazi unalitafsiri vipi.? πππ ..
ππππ Kuchanganyikiwa hivi hivHiyo link nilimpa yule kilaza wenu just to prove a point to him. Fuatilia thread uelewe kinachoendelea usiwe kilaza kama yeye nawe. We already have so many vilazas in the house
Ukiskia neno kuchapa kazi kwa kiongozi wa ngazi za juu (raisi) wewe unalitafsirije .? Nataka nijue uelewa wako ππSo unaamini Magu alikuwa akichapa kazi ndani ya hizo wiki mbili! π π π Then he mysteriously dies π π π What a life!
Kwahiyo tumekubaliana kwamba Magu alipelekwa Nairobi kwa ndege inayoitwa intelligence na akafia kule zen mwili wake ulirudishwa huku kupitia AMREF terminal zen ukapita chini kwa chini pasipo watu kuona, jambo hilo limefanywa siri kubwa mpk kesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijaribu kupindisha mada tafadhali.So unaamini Magu alikuwa akichapa kazi ndani ya hizo wiki mbili! [emoji23] [emoji23] [emoji23] Then he mysteriously dies [emoji23] [emoji23] [emoji23] What a life!
Hakuna kuwaacha hadi waombe poo πππ