Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuongelee kwanza Magu kuletwa Nairobi alafu nieleweshe kuhusu hyo ndege ya intelligence inabebaje mtu mashuhuri duniani kama Magu pasipo kufahamika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Now this is part of the intelligence I was talking about. Mmoja wao kaniuliza Kama aliletwa Nairobi an ndege inaitwa intelligence [emoji23] [emoji23] [emoji23]
So hiyo intelligence ndiyo hizo gari ambapo zilimbeba kiongozi mashuhuri kwa siri kiasi cha kwamba hata watu hawakuona na ikabaki siri kubwa mpk leo, kwamba hata Airpot hakukuwa na mtu hata mmoja au sio, mnajiona uwezo wenu wa kujenga hoja ulivyo hafifu Wakenya?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wanavyopenda Sifa eti hata mlinzi alishindwa kutwanga FOTO🀣🀣🀣
 
Umesoma lakini nilichoandoka au umekurupuka kujibu.? ulichoandika ndicho nilichomaanisha, Magufuli alikufa ghafla, na ndio maana naamini maneno ya Kassimu Majaliwa alivyosema kwamba Mwamba yupo busy na majukumu yake, kwasababu JPM hakuwa amelezwa mda wote wa wiki mbili.. kama ni hivyo basi nataka ueleze uongo wa prime minister ulikua wapi hapo.??
 
Naenda nao pole pole, msione nawapa majibu ya kizuzu la hasha bali nataka kuwa outsmart kwa kutumia njia za Abunuwasi mwishowe watajiona wajinga mnoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na lisu unafikiria aliambiwa na nani na ako belgium?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…