The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Tumalizane na Magufuli kwanza mzee wa Intelligence, kwamba Magu alipelekwa Nairobi kupitia intelligence na mwili wake ulirudishwa kichawi kupitia hyo ndege ya intelligence kiasi kwamba hata wafanyakazi wa Airpot hawakuona kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watasema huyo si mtanzania
🤣🤣🤣🤣🤣🤣So walitumia ndege inayoitwa intelligence, haya niambie ni ndege gn inayoweka siri kubwa hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Au alirudishwa kwa gari? Hebu tujadiliane kwanza hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watasema huyo si mtanzania
Hyo mada wanaiogopa kama ukoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakuu hii story ya magu tuipumzishe,tusiwape faida hawa jamaa naona Wana Lao lengo kuvuruga na kupotezea mada ya bone marrow transplant [emoji846]
Umeme tu hamna itakua hospital ya kutibu watu mashuhuri 🤣🤣🤣🤣Tanzanians are taken to Nairobi daily for treatment, hakuna siku utapata wakenya wanatkuwa airlifted to Tanzania for treatment.
View attachment 2033165
Hakuna huduma ya afya inayofanyika Kenya na haipo Tz ila kuna huduma ya afya inapatikana Tz pekee hapa East and Central Africa,hata ulie huwezi badili huu ukweli.Tanzanians are taken to Nairobi daily for treatment, hakuna siku utapata wakenya wanatkuwa airlifted to Tanzania for treatment.
View attachment 2033165
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeme tu hamna itakua hospital ya kutibu watu mashuhuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Angalia bikini yenu View attachment 2033168
Aafu bikini yao imechanika 😃Umeme tu hamna itakua hospital ya kutibu watu mashuhuri 🤣🤣🤣🤣
Angalia bikini yenu View attachment 2033168
Kwamba [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aafu bikini yao imechanika [emoji2]
Man, death can come anytime any day. Kwani hijawahi ona au kusikia mtu kafa bila kuugua? Na si eti ilikuwa ni ajali?😂😂 Uliskiliza vizur taarifa ya msiba na situation aliyokuanayo magufuli hata kifo kilipomkuta.? Wiki mbili kabla taarifa za kifo chake alionekana akimuapisha katibu mkuu kiongozi 👇. baada ya hapo ilifuata taarifa ya kifo chake 👇 . Taarifa fupi kabla ya JPM kukumbwa na umauti inasema, Mwamba aliumwa akapelekwa hospitalini, akapata nafuu na kuruhusiwa kurudi nyumbani, siku kadhaa baadae alizidiwa tena na hiyo ndio ikawa safari yake ya mwisho ya maisha yake.. yaliyoelezwa yote na serikali ni ukweli mtupu, labda uniambie wew sio timamu (una ugonjwa wa akili) ndio utashindwa kuelewa... NB jitahidi uwe unapata taarifa kutoka kwenye vyanzo vya habari vinavyoaminika, sio kuokota okota tu kwa blogs uchwara au wanasiasa wa hovyo (kina tundu lissu)
Tell that to Tanzanians flocking Nairobi to get better treatment.Hakuna huduma ya afya inayofanyika Kenya na haipo Tz ila kuna huduma ya afya inapatikana Tz pekee hapa East and Central Africa,hata ulie huwezi badili huu ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba wafanyakazi wa Airpot wanafanya kazi zao kwenye barabara ya ndege au sio, Wakenya hamna akili[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]For those asking kama wafanyakazi wa airport hawakuona Magufuli, this is what happens with AMREF. Everything is handled by their professionals away from the public and that`s why you will see their ambulances are readily waiting at the airport so that mgonjwa akiletwa anaingizwa kwa ambulance direct na kupelekwa hospitali.
So if I may ask a question, nani ameona mfanyikazi wa airport hapa?
View attachment 2033169
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwamba [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2033170View attachment 2033171
Sent using Jamii Forums mobile app
Now this is part of the intelligence I was talking about. Mmoja wao kaniuliza Kama aliletwa Nairobi an ndege inaitwa intelligence 😂 😂 😂For those asking kama wafanyakazi wa airport hawakuona Magufuli, this is what happens with AMREF. Everything is handled by their professionals away from the public and that`s why you will see their ambulances are readily waiting at the airport so that mgonjwa akiletwa anaingizwa kwa ambulance direct na kupelekwa hospitali.
So if I may ask a question, nani ameona mfanyikazi wa airport hapa?
View attachment 2033169
Childish argument. Go tell your fellows dwelling in slums this Abunuas Story.Tell that to Tanzanians flocking Nairobi to get better treatment.