Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Kwa data zipi hizo ikiwa census imewashinda kufanya 🤣🤣🤣TunaongozaEA kwa receipts from tourism unalifahamu hilo?
NDINDA hakubaliani na wewe👇👇👇Kenya ni Nairobi na Nairobi ni Kenya alafu 70% ya Nairobi ni Slums hata wakunya wa humu wanajua, kuna ma slums mengine yamezinduliwa hivi karibuni, zen 10% ya Nairobi ndiyo vi apartments na vighorofa viwili vitatu, 20% ni pori na mbuga ya Nairobi national park. Maeneo mengine asikudanganye mtu ni vijumba vya mabati na udongo na vimaendeleo kdg maeneo ya mjini.
Shida ya Wakenya ni siasa, unakuta eneo ni pori lkn kuna ka overpass hususan maporini wanapotoka wakikuyu na Wakalenjin (wanasiasa), ss hako ka overpass katapigwa make up zen kanarushwa google kwamba kuna maendeleo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba levo anasema dar needs 25 more years to catch up with Nairobi. 👇👇🤣Kenya ni Nairobi na Nairobi ni Kenya alafu 70% ya Nairobi ni Slums hata wakunya wa humu wanajua, kuna ma slums mengine yamezinduliwa hivi karibuni, zen 10% ya Nairobi ndiyo vi apartments na vighorofa viwili vitatu, 20% ni pori na mbuga ya Nairobi national park. Maeneo mengine asikudanganye mtu ni vijumba vya mabati na udongo na vimaendeleo kdg maeneo ya mjini.
Shida ya Wakenya ni siasa, unakuta eneo ni pori lkn kuna ka overpass hususan maporini wanapotoka wakikuyu na Wakalenjin (wanasiasa), ss hako ka overpass katapigwa make up zen kanarushwa google kwamba kuna maendeleo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mama Ngina alikuwa hakubaliani na mm mwaka huo wa 2012 ila sasa chu..p..i inambana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]NDINDA hakubaliani na wewe[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2031794
Hapa ndipo ilipothibtisha kwamba Wakenya hamna akili, yn comedian kama baba levo mna mtake serious? Kwn baba levo hajui kama Nairobi haina reliable public transport service? Hajui kama Nairobi imejaa ma slums everywhere? Hajui kama Nairobi ni chafu? Hajui kama Nairobi imejaa vibaka na machokoraa? Issue ni kwamba Watz wanawajua nyie ni wapenda sifa za kijinga hata mm nikija huko nitawasifia alafu nachukua mpunga naleta nyumbani, simple like that, na Wakenya niwaambie tu kwamba miaka miwili hii inayokuja hakutakuwa na battle hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baba levo anasema dar needs 25 more years to catch up with Nairobi. [emoji116][emoji116][emoji1787]
Dar needs 25 years to catch up with Nairobi, Diamond’s signee Baba Levo
Baba Levo, a Tanzanian singer, said Dar es Salaam pales compared to Nairobi. The singer praised Nairobi’s infrastructure, saying it is decades ahead of Dar.www.tuko.co.ke
Hii ya Leo ya Baba levo hujaona sio👇👇Hata Mama Ngina alikuwa hakubaliani na mm mwaka huo wa 2012 ila sasa chu..p..i inambana
Sent using Jamii Forums mobile app
Correction: In the making.This is Dubai on the making 💥💥🔥
Nimegonga ndipo, mfate baba levo aHapa ndipo ilipothibtisha kwamba Wakenya hamna akili, yn comedian kama baba levo mna mtake serious? Kwn baba levo hajui kama Nairobi haina reliable public transport service? Hajui kama Nairobi imejaa ma slums everywhere? Hajui kama Nairobi ni chafu? Hajui kama Nairobi imejaa vibaka na machokoraa? Issue ni kwamba Watz wanawajua nyie ni wapenda sifa za kijinga hata mm nikija huko nitawasifia alafu nachukua mpunga naleta nyumbani, simple like that, na Wakenya niwaambie tu kwamba miaka miwili hii inayokuja hakutakuwa na battle hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Tz imewateka sn Wakenya, ckuwa najua kama mnawajua mpk ma celebrity wadogo wadogo kama baba levo, cc huku celebrities wenu hatuwajui wallahi nakuapia mshkaji.Hii ya Leo ya Baba levo hujaona sio[emoji116][emoji116]View attachment 2031803
Dar needs 25 years to catch up with Nairobi, Diamond’s signee Baba Levo
Baba Levo, a Tanzanian singer, said Dar es Salaam pales compared to Nairobi. The singer praised Nairobi’s infrastructure, saying it is decades ahead of Dar.www.tuko.co.ke
Hawajui kizungu wala kiswahili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Correction: in the making
Kwamba baba levo ndio Reuters [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimegonga ndipo, mfate baba levo a
Ukamlilie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2031805
Census imetushindaje wakenya kweli Hamna akiliKwa data zipi hizo ikiwa census imewashinda kufanya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kisumu is a benchmark to other Kenyan cities when it come to cleanliness.
[emoji28][emoji28][emoji28]Baba levo anasema dar needs 25 more years to catch up with Nairobi. [emoji116][emoji116][emoji1787]
Dar needs 25 years to catch up with Nairobi, Diamond’s signee Baba Levo
Baba Levo, a Tanzanian singer, said Dar es Salaam pales compared to Nairobi. The singer praised Nairobi’s infrastructure, saying it is decades ahead of Dar.www.tuko.co.ke
Kwamba baba levo ndio Reuters [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitulaumu Bure, mfate mwenyewe IG upeleke haya malalamishi.🤣🤣🤣🤣Kweli Tz imewateka sn Wakenya, ckuwa najua kama mnawajua mpk ma celebrity wadogo wadogo kama baba levo, cc huku celebrities wenu hatuwajui wallahi nakuapia mshkaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
What influence do you have in lazy land mpaka umuite baba levo mtu mdogo, wee ni nobody. Niko sure ukimuona utaomba selfie 🤳🤣🤣🤣Kweli Tz imewateka sn Wakenya, ckuwa najua kama mnawajua mpk ma celebrity wadogo wadogo kama baba levo, cc huku celebrities wenu hatuwajui wallahi nakuapia mshkaji.
Sent using Jamii Forums mobile app