Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naelewa kila kitu mkuu.

Naelewa kwanini JPM aliweka nguvu kwenye ujenzi wa JNHP.

Naelewa kwanini mradi wa JNHP ulikuwa unapingwa kwa mgongo wa eti uharibifu wa mazingira.
 
Hiyo sheria ya China nmekuwa nikiiwaza sana, hata leo kipindi naenda job nikawa nafikiria kitu kama hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo mtu anafanya ufisadi halafu unamuhukumu kulipa faini halafu unamuachia ni mambo ya ajabu sana.

Ukifanya ufisadi unalimwa chuma hadharani ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Leo ndio nmezi prove hisia zangu kwamba ilikuwa lazima yatokee yaliyotokea mwaka huu mwezi wa 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli died in a Kenyan hospital called Nairobi
That stupid Hospital is very bogus, nor any sane person can think about it, come and see how Hospitals look like, there is nor any Tanzania's leader who thinks about Kenyan Hospital
1)Mlima Kilimanjaro upo Kenya
2) Diamond ni Mkenya
3)Olduvai Gorge ipo Kenya
4) Magufuli amefia Kenya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya mambo mtu anafanya ufisadi halafu unamuhukumu kulipa faini halafu unamuachia ni mambo ya ajabu sana.

Ukifanya ufisadi unalimwa chuma hadharani ili iwe fundisho kwa wengine.
Kweli mkuu watu Wanafanya ufisadi bila wasiwasi maana wanajua mwisho wa siku they will be free
 
I like your analogy, do you have any data for both countries,most importantly the 80:20 beberu?
 
Haya mambo mtu anafanya ufisadi halafu unamuhukumu kulipa faini halafu unamuachia ni mambo ya ajabu sana.

Ukifanya ufisadi unalimwa chuma hadharani ili iwe fundisho kwa wengine.
Hapo tungeendelea fasta lkn co haya mambo ya kuchekeana chekeana, mfano ajira tu za serikali pale utumishi enzi za Magu walikuwa wanaogopa kweli kweli kuingizana, ajira zilikuwa chache lkn wanaopata walikuwa wanastahili, lkn sasa tumerudi kule kule, tra wametangaza nafasi za kazi, za chinichini inasemekana wameshaingizwa 126 kwa vimemo kutoka juu, yn tumerudi kule kule na inawezekana ikawa hovyo zaidi, kuna baadhi ya maofisa wa serikali bado hawajagundua kama tuna incompetent govt, wakistukia tu hali itakuwa mby zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu bring that 80% facts here uwache rumour mongering juu ya wivu, why do tanzanians console themselves with lies and rumours wakishindwa?[emoji848] your list of wealthy people are mostly arabs and hindus
Kwani unadhani ni kwanini serikali yenu inashindwa kujenga hata 1km za sgr kwa pesa zenu ....hiyo ni elimu ya kweli ,maana yake uchumi wa kenya 80% nikwaajili ya manufaa ya mabeberu na 20% ndiyo kwa maslai ya wakenya
 
Mimi naelewa hili sana..na nilishawahi kuweka documents humu sijui kama nnazo bado..Gas lazima ichimbwe na company za nje kisa TPDC auziwe..ingwa TPDC ana hisa ndani ya hizo company ..bado hizo hisa ni chache kuleta faida kwa Taifa...na nilisha bishana hata na watu twitter..

Tupate kiongozi kama Magu atakaye renegotiate ..mikataba maana Gas ni nying na haiishi leo wala kesho lasyvyo tutapigwa maisha yote...

Am not against JNHPP..kujengwa na naelewa hydro ni cheap..Na natamanu liishe soon
.Kitu cha kuangaliwa lisiwe subbotaged..na watendaji wanabaki kuachia maji na kisha kusema mvua hamna ..

Also climate change means we need energy mix..

Kama mnajua swala hili vizuri..

Gas ya mtwara ziko sehemu mbili (hii sio ya songosongo)

1.Onshore 5% less than
2.Offshore 95%

Tunayoutumia na inayochimbwa currently ni Onshore .na moja ya compnay inaitwa wentworth ..hii pipeline inaweza kutumika kwa zote

Project ya kujenga LNG itahusisha Off shore maana hio ndo iko nying..na mikataba Haijasainiwa bado...je viongozi waliopo sasa wataangalia maslahi ya nchi au ndo mambo ya 10%...kama wakiangalia Nchi Basi Offshore inatosha kutupa profit kubwa Tz ...

hii onshore nakubali mikataba ishakaa hovyo na itakuwa ngumu ku salvage chochote..

Lwiva @
 
Ukweli umekutesa unajiliwaza, zoea ukweli, vumilia maumivu 😂 😂 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…