It’s December and treni za umeme bado hazijaja?
View attachment 2029920
Serikali imesema uongo kuhusu ujio wa hizi treni kama Mara nne. What’s happening? What’s the actual ETA?
Still they slaves, washing Arab's ass and sexually mistreated, Kenyans enjoy slavery
Ushaanza aibu zako ndogo ndogo sasa km kawaida yako..Wakenya hebu wacheni aibu ndogo ndogo basiii, hii ni hospitali ya kufanya bone marrow transplant hii? Nairobi hospital [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2029797View attachment 2029798View attachment 2029799View attachment 2029800View attachment 2029801
He forgets the same Arabs own their economyYou should also start washing Arabs' asses. That way you'll stop overwhelming Kenya with Omba Ombas.
Wivu wenye viwango vya massHamna safety yoyote hapo!
Ap wametoka juzi hao[emoji1787][emoji1787]Best city to work wakati unemployment rate ya Nairobi ni 50% na serikali haina pesa ya kulipa police mishahara wala haitatoa ajira kwa miaka 10 ijayo?
Yani wameshindwa hadi na turkana mazee[emoji1787][emoji1787]
Hii huitakiNational Grid networks between Tanzania and Kenya [emoji28][emoji28][emoji28]
70% ya Kenya haina umeme
View attachment 2030052View attachment 2030053
I assure you,huyu mama come 2025,hatamaliza hiyo miradi yote,mingine aliyoanzisha JPM itamfia mikononi. mm nilisha mkataa since week two she assumed the office. Sasa hivi viongizi walioko Chini yake wamekuwa hovyo sanawadau tukubalieni, hii nchi saiz haina kiongozi...
tuombe tu ndan ya miaka hii mitano hadi 2025 miradi yote ya Magu iwe imeisha... iwe ndan ya mda au nje ya mda.. lkn mpka 2025 iwe imeisha yote.. alafu 2025 uchaguzi mkuu mama akae pemben, amwachie hata majaliwa at the wheel.
mpka 2025 mama ajitahidi bas kufanya yafuatayo
- amalizie sgr Dar-Makutupora, na Isaka-Mwanza
- atafute hela (ziwe approved) za Makutupora-Isaka na Isaka-Kigali SGR
- ahakikishe Msalato airport inaisha
- ahakikishe JNHHP inaisha
- ahakikishe bas anaweka hata jiwe la msingi Dodoma stadium
- ahakikishe ujenzi wa bomba la mafuta unaanza
- na mengine baadhi..
haya mengine sijui umeme au maji kukatika sijui vitu gan vingine tutamsaheme tu maana hakutarajia kuwa Rais[emoji23].. lkn 2025 akae pemben, tuendelee na mtu mwingine
japo yapo mengi mazuri anayafanya kama hizi 1.3tr za IMF, biashara na kenya, lkn uongozi kiujumla hana, nchi imelala, viongozi chini yake nao wamelala lala
(wapo wengi wazuri wafuatiliaji, lkn wanaogopa kumuoutshine the master mkimya)
We Jamaa mbona mko desperate hivo🙂 picha za 1999 daah!