Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,297
- 3,648
480km in 2 1/2yrs. tumejenga peupe dunia nzima ikitizama. nyinyi yenu ni muliweka jiwe la msingi mukaanza kutapatapa munaomba pesa kushoto kulia.... mpaka ldc wenzenu Chad... mwishowe mukarudi back to square one. mbwembwe zikaisha.kwan sgr mlijenga kwa wiki moja au kuna mtu alikua anawasumbua tulieni ndugun acheni mapepe
mradi tumeuanza na baada ya 2.5yrs tutaanza kutumia😀😀😀😀😀😀
unless munajenga mida ya wanga kwa kutumia wataalamu wa Sumbawanga, apo nitaamini.