Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Weka link kuonyesha Kenya imefanya "bone marrow transplant" ,wacha kupoteza mada[emoji23][emoji23][emoji23]
 
yes kapenda kusaidia na hatuwez kataa kama kapenda mwenyewe kufanya hvo 🤝🤝🤝
kaomba kusaidia na sisi tumekubali shida iko wapi 🤝🤝🤝 sio nyinyi munaletewa chakula na nchi zenye jangwa asilimia 100 na hamuoni aibu hata kupokea 😆😆😆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sasa mbona unalia

 
Nimeongezea tu. Sijahamisha.


Based on the context of the argument, your Tanzanian friend failed to comprehend an English statement and tried to justify it on the premise that it is a colonial language and he doesn't have to be good in it.
Kiingereza siyo lugha inayotumika katika kufundishia shule za awali Tanzania, ila Kenya inatumia lugha hiyo. Hivyo bado sielewi kwanini wasomi wenu wamefeli katika lugha waliyojifunza tangu utotoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…