Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

jamani leo wakenya wanapita kimya kimya.......wanazichungulia hizi photo kwa kuibia.......ndiyo wakae wakijua .....hii ndiyo dar.....kila kitu kina change kadri siku zinavyo katiza..
 
In Kenya we don't just talk of Nairobi! All parts of Kenya or on the roll!

Kakamega is on the roll too


The ticks indicate the progress completion
 
nawashauri wakenya mrudi.....na kuendelea kupost vile vipisi vya barabara zenu mnazoziita fly over......wakati ni vipapatio road
 
personally am an engineer by profession but sijaajiriwa na private sector wala serikali...napiga deals zangu tu na nala hela ndefu kulio walio ajiriwa
hongera sana[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]yaani haujaulizwa kuhusu maisha yako chaajabu ushaanza kuropoka....mara ooh unakula pesa ndefu.......basi sawa ngoja tukusifie basi.....maana wakenya kwa sifa za kijinga hamjambo
 
Nimeshaiongeza umefurahi sasa walikua wameisahau😀😀😀😀😀😀😀
View attachment 552916
hahahaha... Hahahaha....icho usiumize mbavu zangu pls.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kukwe zinaendelea kujengwa zionekane za kisasa kabisa






imetulia sana hawa......huwa tunawaambia kila siku........dar siyo level yenu ......nairobi ni.....pakijinga sana kama wananchi wake walivyo
 
Kadoda leo unakuwa mtu hivihivi yaani sijui! Yaani mtu kukuibia anaenda na akili zako? Hizo akili ulizotumia kufika ulipofika ameenda nazo? Acha kuwa hivi. Unanishangaza!!
basi sawa.
ila kuwa mwangalifu katika kulinda laptop zako,wakora wa nairobi hawaishii tu kuiba mali,hata roho ya mtu pia wanaweza kwenda nayo.

si unaona hapa walivofanya kwa mchezo rugby?... simu tu imemponza...huzuni sana.
tatizo la ukosefu wa ajira,ni janga kubwa sana huko kenya.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
okay am jobless if that makes you happy...lets move on
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] safi huo ndiyo ukweli tunaoutaka
.....siyo kutapika tapika ovyo mara ooh engineer.....

stupid
 
Ushaanza kusepetuka?
asa nyie mna road gani ya maana zsidi ya mbwembwe za zigzaga zisizo na tija ya kupunguza foleni.....yaaani hamna kitu kiukweli.....upo kwenye old city for old nation in old people
hampo updated all kenyan yaani mpo so stupid..[emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
ata iyo ndio nimeona.but i think it's some few selected tz's ndio wako na hio idea lazima white collar job ndio utengeze pesa.wengine nimewasoma wamechanuka kinoma ila kwenye hii thread ndio kuna vilaza kadhaa
umeishiwa hauna kitu.......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
acha kudandia treni kwa mbele kijana...haikuelekezwa kwako hiyo taarifa.punguza mihemko ujadili kwa ustaarabu.nmekuuliza swali lako hujalijibu unarukia la mwenzako
tatizo hauna data unaropoka ropoka kama mtoto....yaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…