Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

22600-13000 unapata ngap?
Yeah nakubali barabara bado tuko nyuma...tunapambana kuboresha though
Kenya kuna mahali unakaa ndani ya basi siku mbili mpk tatu, wapi ulisikia Tz unakaa cku zote hizo kwa safari moja, and don't forget Tz ni two times Kenya, kuwa makini unapo debate na Mkunya bro.
 
Okey mm sina shaka maana ukweli utabaki palepale...tatizo kwann taarifa zinapishana
 
Okey mm sina shaka maana ukweli utabaki palepale...tatizo kwann taarifa zinapishana
Ukiangalia vizuri hiyo place nimeahighlight ni 2019, za 2020 ndio hizi hapa chini. You can also check za 2019 from the table alafu ulinganishe na hile iko kwa article.

 
Ukiangalia vizuri hiyo place nimeahighlight ni 2019, za 2020 ndio hizi hapa chini. You can also check za 2019 from the table alafu ulinganishe na hile iko kwa article.

🀣🀣🀣🀣 leo hutoki hapa mpaka tumalizane
 
And when did they come to Kenya to realize that Kunyaland has the GDP of 90?
Figures always start from home. Hakuna siku watu wa world Bank or IMF watawahikuja na data tofauti na ya serikali ya nchi husika. They get their figures then scrutinize it after which they release their figures which are always the same na za hizo nchi.
 
Safi sana [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unateseka sana, that screenshot haitatoa ukweli kuwa total paved roads in Kenya is 22,600km.
Watz wenyewe wanajisemanga vile ni wabishi, i believe this one is normally the father of them all Mr.Babji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…