Can you confirm that Tanzanian shilling is exchanged at 15Tzs against the Tanzanian shilling?Be informed that now Ksh is exchanged for 15Tzs instead of 22Tzs, and it goes on depreciating against Tzs. And note that Tzs is stronger and has high purchasing power than Ksh.
Muite. How am I supposed to quote a post made more than a year ago?Hebu weka hiyo post aliyokubali yeye ni Mtz au ngoja nimuite Mkikuyu- Akili timamu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Moja moja! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tuonyeshe hizo za udongo kijana wa Tandale tuone
Ss kama huna uthibitisho kwnn unaongea kitu ambacho huwezi ku proove? Shule gn umesoma wewe?Muite. How am I supposed to quote a post made more than a year ago?
Just because you say so sasa nikubali? Now this is what I was talking about - kulazimisha watu fikra zenu na kuwataka wakubaliane nazo. Where did you read that? Can you prove these claims?Ok hebu kubali kwamba Kenya inaongoza kwa Slums duniani.
Ni nini kinaonyesha hapo ni Mombasa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2026752View attachment 2026755
Unaniuliza mimi badala umuulize Mama Ngina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni nini kinaonyesha hapo ni Mombasa?
Ukiandika tu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Just because you say so sasa nikubali? Now this is what I was talking about - kulazimisha watu fikra zenu na kuwataka wakubaliane nazo. Where did you read that? Can you prove these claims?
unazipinga kauli zako mzeeI said stop being desperate. hebu quote mahali nilisema nahesabu ombaomba wanaoingia Kenya from Tanzania? Depends watu desperate mimi
2.5 mil slum dwellers [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Just because you say so sasa nikubali? Now this is what I was talking about - kulazimisha watu fikra zenu na kuwataka wakubaliane nazo. Where did you read that? Can you prove these claims?
Nicxie soma hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Just because you say so sasa nikubali? Now this is what I was talking about - kulazimisha watu fikra zenu na kuwataka wakubaliane nazo. Where did you read that? Can you prove these claims?
So Paris pia inaongoza kwa slums? 😂Ukiandika tu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2026756
60% of Nairobi population are Slum dwellers facts hazipingwi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Just because you say so sasa nikubali? Now this is what I was talking about - kulazimisha watu fikra zenu na kuwataka wakubaliane nazo. Where did you read that? Can you prove these claims?
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]So Paris pia inaongoza kwa slums? [emoji23]
Kijana, nataka kuona mahali imeandikwa Kenya inaongoza kwa slums duniani. Hizo screenshots zako bado zinadhihirisha jinsi mnapenda kulazimisha mawazo zenu kwa watu
aliyekuambia mambo ya Tz hayapo wazi ni nani?Ukiangalia vizuri utapata kwamba chanzo cha nyinyi kugongana wenyewe kwa wenyewe ni kwa sababu hampendi kuona mtu akisema ukweli kuhusu nchi yenu, awe ni mtanzania mwenzenu au mkenya.
Hili sio tatizo sana kwetu kwa sababu mambo yetu huwa tunayaweka wazi wala hakuna cha kuficha kitu. Mtanzania ni mtu atakulazimisha mawazo yake yawe ya ukweli hata kama Hakuna chembe cha ukweli kwa analosema ilimradi tu aonekane amekushinda kwa hoja.
Ukijaribu kumkosoa hapo ndio mnakosana. Sisi wakenya hatuna hii tabia na si eti najisifu. Mapungufu yeti tunayakubali, something that most Tanzania don't do in this forum