The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Kwenye picha tu mbn hatuwawezi, Mana nyie wazee wa lipstick, yn hapo mmeitengeneza alafu mnaongopea wazungu kwamba mko vzr East and Central Africa alafu wazungu wanaingia mkenge, njoo ground ss, shuzi la mbuzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Southern Bypass
Kwenye picha hatuwawezi, ila na cc tunaenda vzr kwa photographers.ikipigwa make up hiyo hautoamini
Ss weka picha halisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wallpaper alert [emoji3059]
Inaelekea serikali inataka kubana gharama maana kuwa jiji ni lazima liendane na ongezeko la human resource. Hata Kahama yenyewe bado inabaniwa sababu za kisiasa tuu maana kahama ina hadhi ya jiji lakini wanaona ita outshadow Shinyanga mjini ambayo ni administrative center ya mkoa.Sikufahamu kuwa ili manispaa iwe jiji inatakiwa eneo lake liwe kubwa. Lakini kama Magufuli alitumia mamlaka yake kuifanya Dodoma kuwa jiji, Kwa nini wasifanye hivyo na Moshi?
Sio Kenya Kwahiyo ni wapi ss, nani asiyepajua hapo?[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nangoja wale watu wa kusema "hapo sio Kenya" waje
Baadhi ya Watz wa humu ni ma snitch sn kama Wakenya wa twitter, ukiwapa ukweli alafu wakitokea watu wawili watatu wakakusapoti ujue kesho anaponda nchi yake.miradi tofauti tofauti ya maendeleo inafanywa ndani ya Kigamboni The best 007 nisaidie kuwaelimisha hawa watu [emoji116]
[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nairobi ni wapi..! nairobi nikunoma ile mbaya. oga nairobi. dar mko mbali kukaribia nairobi View attachment 2025677
Jana nilikutana na gari lao na lile la Cameroon nikajiuliza kwani kuna mechi gani tunacheza na hizi timu mbili na inakuaje? Kumbe ni walemavu, safi sana.
Watake wasitake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii kitu unaweka hata Wakenya wenzako hawakuelewi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ugumu wa maisha inapatikana hapa bongolala
View attachment 2025806
Mbona mnapenda kujifanya na kwa ground vitu ni different?
Hii unaiona leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama mnalipa kodi na makato ya kila aina kwanini msilalamike Kwa serikali mnapoona kasoro? Mimi nafika wakati nashindwa kuwaelewa watanzania. Kwa nini mnatetea hali hii? Kwasababu ya ushabiki wa CCM? Kodi zenu zinaliwa na viongozi ambao hawafanyi kazi yao na nyie mnaendelea Kuwa mashabiki? This makes no sense to me. Somebody please make me understand!
Walivyo wabishi watapinga tuu hata kama ni fact jamaa wana roho ngumu sana hawa.Jumapili ya moto kwa kunyaland
View attachment 2025872
Sasa walichobakisha ambacho hawajazidiwa ni nini ama paper GDP?Siyo mimi
View attachment 2025869
Kwahyo hizo picha alizopost ni za one year ago we fala 😂😂😂 hizo ni picha za zaidi ya miaka kumi iliyopitaSo within one year umaskini imepungua Tanzania by more than a half? 😂 😂 😂
what a joke!
Huyo ndugu yako anapenda ubishi sana. He's ''always right''Hata kama ungekuwa unajua hadi chini ya ziwa Victoria kukoje, hutaweza kukataa the fact kuwa Mwanza haina mpangilio. Watu wanajenga kila mahali na sasa everything is just a mess. Siku nitaenda Mwanza nipige picha mwenyewe.