Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You still don't get it do you?๐Ÿคฆ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคฆ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ

Tony254 come see this fool.๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Wewe ni taahira na unajua fika nimekubana mbupu ndio maana unamuita basha wako akuokoe
 
,
Hapa hata sijatumia elimu yangu. Iโ€™m well informed na ninatumia common sense.
๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ
 
Uhuru ameimaliza Kenya yote kwa kuuibia mashamba sasa kawaibia kile kijiwe chao cha free Wi-Fi kwa Jina la muarabu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Uhuru Park saivi ni Mali halali ya muarabu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

It's so official
 
Ili Moshi iwe jiji, inabidi ikidhi vigezo Vipi?
Issue ya jiji la moshi inatakiwa eneo liongezeke kwa kumega eneo toka wilaya nyingine kama moshi vijijini ili eneo liwe kubwa ila vigezo vya watu na shughuli za kiuchumi imekidhi.
 

Wasichojua ni kuwa hiyo Abuja yenyewe ni copy and paste ya ramani ya Dodoma.
 
kwa hiyo wewe kazi ni kucount omba omba pekee wanaotoka Tz nakuwapa permit?
Mzee hana chakupoteza, muda wowote anaweza kuondoka hivyo anataka kuacha legacy nzuri.

Anajua historia ya umimi ya hawa wakikuyu na anakumbuka Nyerere alivyomlea na baadae kumpa urais, lazima arudishe fadhila.

Somo hapa nikuishi na watu vizuri, roho mbaya na umimi wa kina kenyatta na Njonjo leo unawaumiza wajukuu zao.
 
Shida sio hatupigi picha mkuu bali Dar ni jiji kubwa sana mpaka kusikia habari ya sehemu fulani kuna kitu kinaendelea it takes time maana miradi ni mingi ndio maana umeona huo mradi wa Dege haukupewa profile kubwa sababu mega projects ni nyingi sana.
Hivi huu mradi siyo ulipigwa chini kwasababu ya ufisadi?
 
Thank you bro for the latest news

Tanzania miradi ni mingi sana kuliko kenya kwa vile hatuna wapiga picha wengi na waandishi wa Habari wa kutangazia.

Nimejaribu kufukua Kwenye vyanzo vyangu ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ