joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hahahaha, Mimi nikivuka tu mpaka kuingia Kenya ninahisi Kama nimeingia South Sudan au Eastern DRC, very unsafe and dangerous country.Ni siku kubwa kwa mtanzania akija kenya. Nkama mkenya akienda marekani.
Majaruba ya mpunga hayo kama yote halafu kuna mijitu inaleta dharau kwa Watanzania wanaowalisha, lazy brains, lazy bonessgr phase 5
Hiyo inasaidia nini kupunguza njaa, slums, unemployment, ukabila na rushwa vinavyowasumbua?Kajilipua[emoji1787][emoji1787][emoji1787] air ticket ya kuja Kenya mnayo, jiulize kwanini JKIA inahandle abiria wengi kuliko Tanzania nzima[emoji1787][emoji1787] middle class Iko ngangari
Kwasababu Tanzania attracts tourists and Kenya attracts beggars, you enjoy kuombaomba Kama nchi[emoji23][emoji23][emoji23]Wakenya utakao Kuta tz ni watalii na watz utakaokuta Kenya ni omba omba[emoji1787][emoji1787]View attachment 2023765View attachment 2023766
Siku ya kwanza kwenda kenya jamaa wa immigration pale airport alivyoingiza passport yangu akaniuliza wewe huwa hutembelei huku sana eh nikamjibu ndio naanza kutembelea lakini moyoni nikajua alikuwa anashangaa inakuwaje mtanzania anaenda nchi zote hizo lakini hajawahi fika Kenya na hiyo ndio mentality ya wakenya walio wengi.Hahahaha, Mimi nikivuka tu mpaka kuingia Kenya ninahisi Kama nimeingia South Sudan au Eastern DRC, very unsafe and dangerous country.
Huyu anahesabu na abiria ambao majority ni wa transit ingekuwa hivyo basi pato lao la utalii lingekuwa kubwa kuliko TZHiyo inasaidia nini kupunguza njaa, slums, unemployment, ukabila na rushwa vinavyowasumbua?
Isiolo is ahead of Dodoma by far[emoji116][emoji116]View attachment 2023790View attachment 2023797View attachment 2023791View attachment 2023794View attachment 2023796
View attachment 2023793
Watanzania bata lisilokuepo Tanzania wanalifuata SA au Dubai, haitokaa itokee ukaona mtanzania anakuja Kenya for leisure, that's impossible
Naona Hapa ni mashindano Kati ya Mchina na mturuki , mpaka sasahivi mturuki 2 -0 Mchinasgr phase 5
Majaruba ya mpunga hayo kama yote halafu kuna mijitu inaleta dharau kwa Watanzania wanaowalisha, lazy brains, lazy bones
nikisema ww huna akili utanilaumu 🤣🤣 soma chini hapoYani kaumia hadi analeta screenshots za ujinga kulazimisha mawazo yake as usual. Jamaa Kazama mitandaoni kutafuta ufariji kwa kuleta hiI picha eti ni Lang'ata 😂 😂 😂
View attachment 2023849
Alafu alivyo mjinga haoni ndani ya screenshot pameandikwa Ongata Rongai
Acha kulazimisha fikra zako, it won't help danganyika overtake Kenya in anythingHamna ubavu wa kujenga hiyo barabara yote at a go kama unabisha leta company ilioshinda tenda za hizo kilometers zote, usitake kufanya watu hamnazo kama ninyi
Wa marekani walishaupotezea huo mradi
Wacha nikuache ujifurahishe. Pengine itasawasaidia kuondoa u Swazi Darnikisema ww huna akili utanilaumu 🤣🤣 soma chini hapo
View attachment 2023966
Wewe umenionesha kipande cha ujenzi, hicho kipande hakina mkandarasi? Mkandarasi anaitwa nani na mkataba wa hizo kilometers uko wapi ceremony yake? Leta ground breaking ceremony ya hizo kilometers hapaAcha kulazimisha fikra zako, it won't help danganyika overtake Kenya in anything
Construction plans for US $841m Isiolo-Mandera road project in Kenya released
Construction of the Isiolo-Mandera road is set to commence soon after the Kenya National Highways Authority (KeNHA) released the building plans.constructionreviewonline.com
Kenya announces tender for Isiolo-Mandera road project
Kenya has floated an international tender for construction of the Isiolo-Mandera road. KeNHA announced and said it will cover two sections of the road.constructionreviewonline.com
Hahaha kutoka Nairobi hadi Mandera ni week 😂😂😂😂😂Acha kulazimisha fikra zako, it won't help danganyika overtake Kenya in anything
Construction plans for US $841m Isiolo-Mandera road project in Kenya released
Construction of the Isiolo-Mandera road is set to commence soon after the Kenya National Highways Authority (KeNHA) released the building plans.constructionreviewonline.com
Kenya announces tender for Isiolo-Mandera road project
Kenya has floated an international tender for construction of the Isiolo-Mandera road. KeNHA announced and said it will cover two sections of the road.constructionreviewonline.com
Mradi una lots 900 mpaka lots zote ziishe ni 2900, mtaendelea kutumia week nzima kusafiri Nairobi to Mandera kwa miaka mingi tu ijayo 😅😅😅Acha kulazimisha fikra zako, it won't help danganyika overtake Kenya in anything
Construction plans for US $841m Isiolo-Mandera road project in Kenya released
Construction of the Isiolo-Mandera road is set to commence soon after the Kenya National Highways Authority (KeNHA) released the building plans.constructionreviewonline.com
Kenya announces tender for Isiolo-Mandera road project
Kenya has floated an international tender for construction of the Isiolo-Mandera road. KeNHA announced and said it will cover two sections of the road.constructionreviewonline.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chuma ishageuka iko Buguruni now approaching JNIA
Ndio maana nikasema Africa tuna kazi nzito, cc tulifanya miaka 10 iliyopita wao wanafanya leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi kumbe bado Kuna vinchi ndo vinakumbuka sasa hivi kuunganisha county kwa county kwa barabara za lami! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo hapo co Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani kaumia hadi analeta screenshots za ujinga kulazimisha mawazo yake as usual. Jamaa Kazama mitandaoni kutafuta ufariji kwa kuleta hiI picha eti ni Lang'ata [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 2023849
Alafu alivyo mjinga haoni ndani ya screenshot pameandikwa Ongata Rongai