The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Roho kwatu wapi, wana wivu uliopitiliza, wanajua abiria wote wata substitute their old planes with brand new and modern planes [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakenya basi roho kwatu, hatimae ndege ya Tanzania inafanya safari Kenya, anything Tanzanian to Kenyans is a privilege
muongezee mau mau road 540km...alafu kuna barabara KURA wanaunda ndani ya informal settlments za nairobi zaida ya km 400740km[emoji116][emoji116][emoji23][emoji23]View attachment 2023764
Duh aisee.740km[emoji116][emoji116][emoji23][emoji23]View attachment 2023764
Kenya kwenye tourisn ni madalali tuuYet gap la tourism revenue ni $2b
Afrika kweli kazi ipo.Isiolo is ahead of Dodoma by far[emoji116][emoji116]View attachment 2023790View attachment 2023797View attachment 2023791View attachment 2023794View attachment 2023796
View attachment 2023793
Vilaza wanaumia kweli. Hawajui hiyo Langata can easily qualify as one of their high-end neighbourhoods.Waga unajua kuwakera sana, unapiga panapo uma😂😂😂
One of ama the most?🤣🤣Vilaza wanaumia kweli. Hawaii hiyo Langata can easily qualify as one of their high-end neighbourhoods.
Chuma ishageuka iko Buguruni now approaching JNIAWakenya basi roho kwatu, hatimae ndege ya Tanzania inafanya safari Kenya, anything Tanzanian to Kenyans is a privilege
Hiyo phases umeisoma wapi bongolala? Ama hapo ndio wivu imekufikisha?Phases, mpaka iishe ni miaka 80 ijayo
Yani kaumia hadi analeta screenshots za ujinga kulazimisha mawazo yake as usual. Jamaa Kazama mitandaoni kutafuta ufariji kwa kuleta hiI picha eti ni Lang'ata 😂 😂 😂One of ama the most?🤣🤣
Sasa jamani wakae hivihivi tuu wakose furaha na hawa ni ndugu zetu tuwe na imani kidogo katika kuwasaidia.naongelea hio thaman ya hio hela na hio ligi yao mbovumbovu.. haviendi.. no value for money at all
Kuna mtanzania mwenye time na Kenya kweli?
Wakenya wanauana ili waje Tanzania kuenjoy maisha, hutoona mtanzania anaenda for leisure Kenya incase there's any!
View attachment 2023748View attachment 2023749View attachment 2023750View attachment 2023751
Hamna ubavu wa kujenga hiyo barabara yote at a go kama unabisha leta company ilioshinda tenda za hizo kilometers zote, usitake kufanya watu hamnazo kama ninyiHiyo phases umeisoma wapi bongolala? Ama hapo ndio wivu imekufikisha?
Hivi ninyi kwa maisha mnaweza kujilinganisha na Tanzania, kuanzia nyumba, bata, lifestyle and everything hamna ubavu wa kujilinganisha na TanzaniaTravel is a sign of disposable income.
Tanzania bongolala maskini pesa ni ya makazi na malisho.
Watanzania bata lisilokuepo Tanzania wanalifuata SA au Dubai, haitokaa itokee ukaona mtanzania anakuja Kenya for leisure, that's impossibleTravel is a sign of disposable income.
Tanzania bongolala maskini pesa ni ya makazi na malisho.